The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Ati bilioni tano so kazibeba vipi ,kaziweka benki ipi ,maana zipo Sheria za BOT , au kazibeba kama yale mafurushi ya akina Tibaijuka , Rugemalil, B tano sio mchezo may be wao wanaozimiliki wanaona ni kitu kidogo , zimeingiaje nchini, ? sie sio wajingaHizi propaganda za kijinga akadanganye watoto wake.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.
Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Arusha, eneo la Katiti, Dkt. Mwigulu alisema Serikali imekuwa ikifuatilia kwa karibu mienendo ya makundi yanayodaiwa kuendesha
Hizo billion 5 kwanini hawakupewa ccm ili washawishi vijana waachane na madai yao kwao?Na mmeshindwa kumkamata huyo kijana.
Rubbish!Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.