Kipondo Cha ugoko
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,411
- 2,700
Waziri mkuu asiekua na ushawishi.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.
Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Arusha, eneo la Katiti, Dkt. Mwigulu alisema Serikali imekuwa ikifuatilia kwa karibu mienendo ya makundi yanayodaiwa kuendesha
Huyu mazafaka aachane na hizi empty propaganda. Mchawi wao ni wao wenyewe!Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.
Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Arusha, eneo la Katiti, Dkt. Mwigulu alisema Serikali imekuwa ikifuatilia kwa karibu mienendo ya makundi yanayodaiwa kuendesha
Kama wanao ushahidi wampeleke mahakamani na si kumteka kama walivyo zoea.Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.
Akihutubia leo Jumapili, Novemba 30, 2025, katika mkutano wa hadhara uliofanyika Arusha, eneo la Katiti, Dkt. Mwigulu alisema Serikali imekuwa ikifuatilia kwa karibu mienendo ya makundi yanayodaiwa kuendesha
Huyu blood fakeni bado anadhani tupo zama za ujima..Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba , ametangaza madai mazito akieleza kuwa kuna baadhi ya wanaharakati wanaolipwa ili kuchochea vurugu na kuzusha taharuki katika maeneo mbalimbali nchini.