Mwijaku achukua fomu ya kuteuliwa kugombania Uspika

Mwijaku amewaacha wengi humu kwa status,fedha, umaarufu,elimu, ujanja nk.
Mwijaku ana digrii mbili UDSM na Mzumbe.
Kila mtu ana haki ya kugombea nafasi.
Kuna watu wanajifanya wana maadili sana kumbe ndio majizi makubwa.

Mwijaku hana degree ya mzumbe.

Mwijaku alidisco mzumbe mwaka wa pili. Ndipo akaenda kuanza upya udsm na kumaliza degree..
 
Tupate matatizo mara ngapi?
 
That's mockery
Safi kabisa.. Maana kama watu wazima na wasomi...wanabehave kipumbavu, why not mwijaku.
Yanï Chenge leo hiï wa nini!?? Nonsense.

Kuna msanii mwingine maarufu anatimba hapo shortly..
 
Lini bunge litatangaza utaratibu wa kugombea hiyo nafasi kwa watu vyama vyote?
wee hujui dunia inakwendaje kabisa. Tangazo la Katibu wa bunge likishatangaza nafasi ya Spika ipo wazi, Vyama vya siasa vinatakiwa kuanza mchakato wa ndani wa kuijaza nafasi tajwa. CCM wameanza na wanaendelea, wengine labda hawaoni sababu ya kuanza machakato huo sababu wanajua hatma ya yote mshindi atatoka Chama gani. Huu ndio ukweli. Ila, ZZK nilifikiri angeweka mtu!!!!!!
 
Ni kupoteza muda kwa jambo ambalo lipo wazi kuwa CCM itashinda
 
Dk. Joseph Kasheku Msukuma atosha wengine wanajisumbua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…