Mwijaku amewaacha wengi humu kwa status,fedha, umaarufu,elimu, ujanja nk.
Mwijaku ana digrii mbili UDSM na Mzumbe.
Kila mtu ana haki ya kugombea nafasi.
Kuna watu wanajifanya wana maadili sana kumbe ndio majizi makubwa.
Mwijaku hana degree ya mzumbe.
Mwijaku alidisco mzumbe mwaka wa pili. Ndipo akaenda kuanza upya udsm na kumaliza degree..