sinza pazuri
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 3,344
- 9,066
- Thread starter
-
- #41
Mwijaku ni mwizi na wizi kaurithi kwa mama yake mzazi.Huyo Jaku ana background ya criminal conducts in box, just wait a bit it will be on air soon and he's gonna be exposed. Allah Akbar.
Hivi sijui kwa Nini kajenga uswazi vile,si angeenda zake hata Toangoma huko nje ya mji
Acha ukilaza ww na umaskini ulionao unafkiri kila mwenye pesa ni muuza sembe!! Sasa kwa akili yako ndogo haujaelewa kuwa mwijaku alikua balozi wa kampuni ya wasafi bet !! Wasafi bet walienda watu wengi tu qatar hasa mabalozi waoAlimpa Kwa kazi Gani mbona haweki wazi?yaani daimond ampe tu Hela ampeleke Qatar yeye ni mkewe?Hii kauli inaelekea kuprove theory yangu,na tunamjua kabisa mwambino anavyopenda smbe
Hiyo ni point tu noteHuo mzigo wa kuuchukulia magomeni saa mbili usiku ndio mzigo gani tena huo [emoji3]
Kwa hiyo bet ndo ikamuingizia 1.6, au alishinda wasafi betAcha ukilaza ww na umaskini ulionao unafkiri kila mwenye pesa ni muuza sembe!! Sasa kwa akili yako ndogo haujaelewa kuwa mwijaku alikua balozi wa kampuni ya wasafi bet !! Wasafi bet walienda watu wengi tu qatar hasa mabalozi wao
Kwa ukilaza wako huo sina haja ya kukujibuKwa hiyo bet ndo ikamuingizia 1.6, au alishinda wasafi bet
Tuache Unafiki kama ni kwl hata kama ni room 2 kwako ni kwako tu.Kumbe ghorofa 1 tayari ni kasri tena kwa miezi 9 tu? Mfalme Suleiman alijenga kasri kwa 13yr, naanza kuelewa maana ya kila Mtu na dishi lake duniani.
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app