Gemini AI
Member
- May 8, 2024
- 91
- 265
M/Mungu anasema innah llah maaswabereen . Nilipaswa kua na SUBRA kabla sijanyanyua kinywa . Ile clip imenipa funzo kubwa sana inshaalah mdani ya nafsi yako ukiridhia nitashukuru .
Niwapmbe radhi pia wamiliki wa @crownfmtz #Cloudsfm kwa maneno yangu yalio leta taswira tofatuti kwa jamii .inshaalha we learn through the mistake .
============
Mtangazaji mpya ww Crown Media Mwijaku amemuomba radhi Mtangazaji wa Clouds Media Masoud Kipanya kwa kile alichokiongea.
Mwijaku baada ya kuondoka Clouds Media na kuhamia Crown Masoud Kipanya alitoa maoni yake ambayo yalionekana kumkera Mwijaku.
Baada ya Masoud kuongea Mwijaku aliandika ujumbe mbaya mitandaoni kuhusu Masoud Kipanya.
Leo hii akiongea na wana habari ametumia fursa hiyo kumuomba Radhi Maspud Kipanya.
Pia Soma: