Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

Alikuwa na project ya Maisha Plus wabobezi wanasema ilimuingizia sana pesa
Maisha Plus ingemuingizia pesa nyingi ingeendelea kuwapo kama zilivyo Bongo Star Search ya Madam Rita au Fiesta ya Clouds au Kili Marathon. Idea na set up ya Maisha Plus ilikuwa ya hovyo, haikuwa na malengo na hivyo haikuvutia sponsors
 
Hivi crown media ishaanza kurusha MATANGAZO?
Wako hewani muda tu!
Screenshot_2024-06-15-06-15-29-61_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
 
Juzi rafiki yangu flani aliniambia nisijisumbue kuwafatilia kina mwijaku kwasababu wanapanga na kuanzisha bifu la uwongo maksudi ili watu wawafollow. Aliniambia alikuwa kwenye kijiwe cha Dotto magari mwijaku akampigia Dotto simu wakaongea fresh tu tena wakitaniana Dotto akamkatisha akamuambia braza mwijaku amsamehe kidogo yuko busy kuna ishu anafanya akimaliza atamrudia waongee fresh.

Lakin cha kushangaza kwenye video zao wanazoposti wanakandiana.

mrangi King Kong III
Wanatengeneza content
 
Back
Top Bottom