Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

Huo ndiyo ukweli Masoud anafanya biashara haramu.

Mtangazaji gani anauwezo wa kununua Hummer H3?
Hizo Hummer za Kichina? mbona kawaida tu.

Masoud hategemei mshahara wa clouds, kuna deal nyingi halali zinamuingizia pesa nzuri tu.

Sasa huyo Maulid Kitenge kila siku yupo angani safari za mamtoni si mtasema naye muuza ngada? Hapo Wasafi kuna mshahara gani?
 
Masoud hategemei mshahara wa clouds, kuna deal nyingi halali zinamuingizia pesa nzuri tutu.
Hapo sasa kwenye kutotegemea mshahara wa Clouds na kuwa na Deal nyingi ndiyo ambapo MWIJAKU ameamua kuishi.

Deals zipi? Deals chafu
 
Hata Masanja Mkandamizaji anadai ana mashamba ya mpunga ndiyo yanamuingizia fedha. Nani anamuamini? Wote hawa ni watu wa bidhaa ya Pakistan
Na sasa hivi kawa msemaji wa Singida Black Stars mapato yanazidi kuongezeka
 
Hata Masanja Mkandamizaji anadai ana mashamba ya mpunga ndiyo yanamuingizia fedha. Nani anamuamini? Wote hawa ni watu wa bidhaa ya Pakistan
ewaa pakistan ni jirani yake afganistan ambaye huyu afghanistan ndie mzalishaji mkuu wa opium poppy na wote tunajua opium poppy ndio kiungo kikuu cha ile bidhaa kwahiyo viwanda vikiwepo pakistan ni sawa sababu malighafi haitoki mbali.....
 
Back
Top Bottom