Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo Hummer za Kichina? mbona kawaida tu.Huo ndiyo ukweli Masoud anafanya biashara haramu.
Mtangazaji gani anauwezo wa kununua Hummer H3?
Hatari....Kama Mwijaku kwa u sensitive wa madawa atakuwa anajua kabla ya hao DCEA kujua basi tuna safari ndefu sana katika hii vita.
msamaha hausaidii, ameshamchafua tayari.Ujumbe ulishafika.
Kweli kabisaWatu Wana biashara nyingi sio lazima kila mtu azijue
Wazee wa mujiniPesa sana wapi bana..zile ni ktk kutakatisha hela tu , ujue km ulivyojua
ndio ukweli huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hatariiiiindio ukweli huo
Ujumbe ulishafika.
Hapo sasa kwenye kutotegemea mshahara wa Clouds na kuwa na Deal nyingi ndiyo ambapo MWIJAKU ameamua kuishi.Masoud hategemei mshahara wa clouds, kuna deal nyingi halali zinamuingizia pesa nzuri tutu.
Hata Masanja Mkandamizaji anadai ana mashamba ya mpunga ndiyo yanamuingizia fedha. Nani anamuamini? Wote hawa ni watu wa bidhaa ya PakistanKweli kabisa
Anaweza kuwa ana mashamba ya mpunga yanamwingizia pesa ndefu
Na sasa hivi kawa msemaji wa Singida Black Stars mapato yanazidi kuongezekaHata Masanja Mkandamizaji anadai ana mashamba ya mpunga ndiyo yanamuingizia fedha. Nani anamuamini? Wote hawa ni watu wa bidhaa ya Pakistan
Nakaziavitu vingine sio vya kuleta JF.
ewaa pakistan ni jirani yake afganistan ambaye huyu afghanistan ndie mzalishaji mkuu wa opium poppy na wote tunajua opium poppy ndio kiungo kikuu cha ile bidhaa kwahiyo viwanda vikiwepo pakistan ni sawa sababu malighafi haitoki mbali.....Hata Masanja Mkandamizaji anadai ana mashamba ya mpunga ndiyo yanamuingizia fedha. Nani anamuamini? Wote hawa ni watu wa bidhaa ya Pakistan
Mbona Juma Lokole ana Range, na Maulidi Kitenge nahisi ana VX, mkuu?Huo ndiyo ukweli Masoud anafanya biashara haramu.
Mtangazaji gani anauwezo wa kununua Hummer H3?
Mbona Juma Lokole ana Range, na Maulidi Kitenge nahisi ana VX, mkuu?