Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

Mwijaku amuomba msamaha Masoud Kipanya baada ya kumtuhumu kuwa “anafanya biashara haramu” na kutukana Viongozi akiwemo Rais

Ni Kama kusema
'nimemuona ngedere anamla tumbili tigo' halafu jioni ukasema ulipitiwa. Kina kima na nyani watakua wanajua tumbili kaliwa tigo.
 
Nikiwakilisha akili zangu za kisanii. Mwijaku anapaswa kuadabishwa.

Alipe faini ajifunze kutumia akili na mdomo vizuri
 
Back
Top Bottom