Mjukuu unayaweza hasa[emoji23]Wee hebu lete habari kamili, tusijee anzaa kupurusua docs afu baadae tukose Pa kuweka sura zetu. Japo itakua ni kweli tulicho kinena.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
°angekuwa na CPA (T) ingekuwaje au Angekuwa WAKILI ingekuwajeHuyo jamaa pamoja na uchawa wake ila ni graduate wa Udsm, school of journalism 😀😀
Huyo jamaa pamoja na uchawa wake ila ni graduate wa Udsm, school of journalism 😀😀
°angekuwa na CPA (T) ingekuwaje au Angekuwa WAKILI ingekuwaje
°kwa hiyo CPA T ya mke wake ni yake? Is CPA shared or transferable?Mke wa mwijaku ni CPA T. Walikutana udsm wakati wote wanasoma degree zao
Yaani nimuombee Mwijaku fala kama hiyo kabisa?.Habari.
Taarifa zisizo Rasmi inasemekana mtangazaji wa clouds na chawa promax wa wasanij mbalimbali nchini maarufu kama mwijaku.
Amesimamishwa kazi na menejimenti yake baada ya utovu wa nidhamu na ruhusa mbalimbali zisizo na sababu.
Chanzo cha Habari kilichomuhoji juma lokole ndiye aliyeeleza suala hili kwa kina zaidi.
Hata hivyo mwijaku hajaweza kusikika kwenye kipindi chake cha Leo tena kwa wiki sasa.
Tuendelee kumuombea ndugu yetu
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
RC mpya mkuu.Mwijaku ndio nani huko Daslam?
°kwa hiyo CPA T ya mke wake ni yake? Is CPA shared or transferable?
CPA T sijui ni ubahili au wana njaa au wengi hawana ajira. Nimebahatika kuwepo eneo la tukio Siku ya mikutano yao kule Arusha sababu huwa nakua huko mda mwingi, ni Tofauti kabisa na mikutano ya sheria.°kwa hiyo CPA T ya mke wake ni yake? Is CPA shared or transferable?
°mbona umetoka kwenye msingi wa wa hoja yangu ya awali, hoja yangu ilikuwa Journalism isn't a big deal compared to prestigious professional like CPA, Advocate huo ndio msingi, ukaja ukasema mke wake ana CPA nikakwambia CPA sio kitu Cha Kushea na sio kitu Cha kuhamishika.Nimekujibu kuonesha hiyo CPA unayoiona elimu kubwa mwijaku kaweka ndani mwenye nayo anamfulia mwijaku nguo , anampikia anamzalia watoto pamoja na cpa yake.
Duniani tunategemeana. Heshimu elimu ya mwijaku pamoja na kazi yake .
Maana anafanya alichosomea kwa ufanisi ndio maana anapata madili na ajira anayo.
Mwijaku anapigiwa simu mpaka na Rais na anasifiwa kwa kazi yake ya sanaa, sio kazi ndogo rais wa nchi kukupigia simu live kama wewe ni kilaza .
°bwashee una chukiCPA T sijui ni ubahili au wana njaa au wengi hawana ajira. Nimebahatika kuwepo eneo la tukio Siku ya mikutano yao kule Arusha sababu huwa nakua huko mda mwingi, ni Tofauti kabisa na mikutano ya sheria.
Siku ya mkutano sheria utajua sababu utaona tax nyingi na boda kiasi zinasubiri nje ila siku ya mikutano ya cpa utajua sababu utawaona wengi na mabegi yalioandikwa cpa na boda nyingii.
Kwann boss? Ni kweli, siku ya mkutano wa cpa wanakuwa wengi na mabegi yameandikwa cpa na wanaonekana kama wapambanaji fulani hivi tofauti na professionals.°bwashee una chuki
°mbona umetoka kwenye msingi wa wa hoja yangu ya awali, hoja yangu ilikuwa Journalism isn't a big deal compared to prestigious professional like CPA, Advocate huo ndio msingi, ukaja ukasema mke wake ana CPA nikakwambia CPA sio kitu Cha Kushea na sio kitu Cha kuhamishika.
°mimi Naheshimu Elimu ya Certificate ya Kitenge kuliko Degree ya Journalism ya Mwijaku,
° Kwa hiyo mke akifanya majukumu yake ni tatizo? Au inaondoa ukubwa wa elimu yake?
° Kwa hiyo ukisifiwa na Rais tayari ww ni genius?
Juma kirohosafiChanzo cha habari ni nani?? 🤔😁😁😁😁😁
Wa mkoa gani mkuu?RC mpya mkuu.