Tetesi: Mwijaku kufukuzwa kazi Clouds media

°sijakataa kama division of labour ni muhimu sana.

°ni kweli fani zote ni muhimu sana,
°Lakini lazima ujue mwenye CPA anaweza kufanya baadhi ya kazi za Journalism, lakini Mwenye degree ya Journalism hawezi kufanya kazi za CPA, ndiyo maana Kikeke kasomea Diploma ya Kilimo lakini ni Muandishi wa Habari
 
Huyo jamaa pamoja na uchawa wake ila ni graduate wa Udsm, school of journalism 😀😀
Hadhi ya UDSM kwa Tanzania iliishia mwaka 1995 tu na kuanzia hapo ni Chuo Kikuu cha Kawaida mno mpaka kimezidiwa na changu cha SAUT Mwanza, Iringa University, Mwenge ( Tumaini ) University na Mzumbe University.
 
Mwijaku sio graduate wa school of journalism.

Mwijaku ni graduate wa udsm department of creative arts. Amesoma shahada ya sanaa ya maigizo.

Na hata clouds media group mwijaku hajaajiriwa kama journalist.

Mwijaku ameajiriwa kama media artist
Watu mna-data. Kumbe ndio maana ana maigizo mengi, kumb ndio "professional" yake..
 
Ukikutana na Mtanzania anayepoteza muda wake muhimu Kumjadili Mwinjaku jua amesharukwa na Akili.
Kweli kabisa.
Mie nimeifungua ili tu nijihakikishie kama ni kweli. Maana huyo jamaa akianza tu kuongea natamani kubadili station. Anaropoka sanaaa, nahisi hana ubongo.... Kwenye kichwa chake kuna maji ya ziwa tanganyika. Anakera hadi anapitiliza
 
Ukikutana na Mtanzania anayepoteza muda wake muhimu Kumjadili Mwinjaku jua amesharukwa na Akili.
Mwanaume hautàkiwi kuwa na mihemko kama una nyege mshindo....

Mbona kule jukwaa la michezo unaongea ushubwada hakuna anayekujadili.

Akili ulizokuwa nazo wewe sio sawa na zangu.


Kama sio shoga nina mashaka na jinsia yako.

NYOKO

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…