Tetesi: Mwijaku kufukuzwa kazi Clouds media

Na kama alikuwepo pale muda mrefu. Why alikubali kwenda redion akijua kabisa hulka yake ya uropokaji na matusi ita mponza? Au ndo ilikua gia ya kumtoa pale
 
Na kama alikuwepo pale muda mrefu. Why alikubali kwenda redion akijua kabisa hulka yake ya uropokaji na matusi ita mponza? Au ndo ilikua gia ya kumtoa pale

Hulka yake itamponza vipi ?

Imemponza kwenye nini huku amezidi kujenga jina lake na kuzidi kupata madili

Kufanya majukumu ya mwajiri wako unakataaje ? Huku mkataba wa ajira umesaini mwenyewe hujalazimishwa.

Media ni kama ofisi zingine mfano benk tu. Mfanyakazi huyo huyo leo unapangwa uwe teller dirishani. Kesho unapangwa uwe kwenye desk la customer service huwezi kukataa eti mimi sitaki hiyo kazi.

U presenter wa media sio kazi ngumu kusema utashindwa kuifanya hata kama hujasomea hiyo.

Asilimia kubwa ya watangazaji wa media ni watu ambao hawajasomea huo utangazaji.

Why mwijaku ashindwe kutangaza hata kama yeye fani yake ni media artist
 
Mwijaku anarindima kwenye Kipindi cha LEO TENA muda Huu kwenye zilizokiki. Watu wameumbuka uku jamani[emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tunamuombea nini sasa?
 
Saw
 
Wee hebu lete habari kamili, tusijee anzaa kupurusua docs afu baadae tukose Pa kuweka sura zetu. Japo itakua ni kweli tulicho kinena.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mban leo alikuepo katk kipindi Tena amekuja kwa kasi ya ajabu mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…