Mwijaku: Nikifa nisizikwe mpaka Rais Samia aje kwenye msiba wangu kunizika

Mjanja M1

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2018
Posts
4,058
Reaction score
14,382
Chawa maarufu na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, amesema kama ikitokea akatangulia kufa basi mwili wake usizikwe mpaka Rais Samia afike kumzika.

Mwijaku ameandika wosia wake kwenye ukurasa wake wa "X",

"WOSIA-ikitokea nimetangualia mbele ya thki kabla ya Rais wetu Samia Tafadhali familia yangu NISIZIKWE MPAKA MAMA ANGU Samia Suluhu afike ndio nizikwe . Tafadhali mama naomba uje unizike kama nitakutangulia mama" - Mwijaku



Nini maoni yako?
✍️ Mjanja M1
 
Shida ya kusifiaaa sana sasa inakuwa utani kwa Rais...
 
Mjinga na Mwanga mkubwa anaweka mkataba na kifo hakijui kifo huyo Ndege ya Malaysia ilipotea miaka Hadi Leo hakuna mwenye kaburi,Mv Bukoba ilizama Kuna maiti hazikupatikana Hadi Leo

Morogoro magari yalilipuka moto watu wakaungua miili Yao hakuna hata aliyetambuliwa

Anajua kifo kitàmkuta wapi ? Mjinga huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…