Mwijaku: Nikifa nisizikwe mpaka Rais Samia aje kwenye msiba wangu kunizika

Mwijaku: Nikifa nisizikwe mpaka Rais Samia aje kwenye msiba wangu kunizika

Huyu mazeri anadharaulika sana hadi wajinga wajinga kama mwijaku wana mchukulia poa kama amekuwa ni x wake vile
 
Kijana wa miaja 35 anawaza kuzikwa na bibi wa miaka 65,Na mimi paka wangu akifa simziki mpaka mama aje
 
Hii nchi inatia kinyaa sana!
hizi nyufa kwenye nyumba zishaleta madhara
 
Chawa maarufu na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, amesema kama ikitokea akatangulia kufa basi mwili wake usizikwe mpaka Rais Samia afike kumzika.

Mwijaku ameandika wosia wake kwenye ukurasa wake wa "X",

"WOSIA-ikitokea nimetangualia mbele ya thki kabla ya Rais wetu Samia Tafadhali familia yangu NISIZIKWE MPAKA MAMA ANGU Samia Suluhu afike ndio nizikwe . Tafadhali mama naomba uje unizike kama nitakutangulia mama" - Mwijaku

View attachment 2907162

Nini maoni yako?
[emoji3578] Mjanja M1
clouds alishafukuzwa
 
Back
Top Bottom