Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Kama Taifa... haya ni Maradhi mabaya sanaUlimbukeni ni tatizo la wapuuzi wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Taifa... haya ni Maradhi mabaya sanaUlimbukeni ni tatizo la wapuuzi wengi
Hili linawasumbua wengi tu sio huyo mpuuzi peke yakeAnajua kifo kitàmkuta wapi ? Mjinga huyo
True halafu mbaya zaidi yeye ni muislam akifa siku ya pili azikwe🤣🤣🤣😂😂😂 anakondaga sana hata ukimsikia kwenye radioAmetamani Msiba Wa Lowassa.
Aendelee Kupambana Atapataa Anachotamani.
Watajijua wenyewe kama Kunatoka aina ya watu kama huyo Mwijaku kitu ambacho siamini wajitathimini kama akili kichwani mwao zimoHuko kigoma wanatoka watu gani' ?
KaziKweliKweli 😂Duh anaumwa ubongo Nini🤣😁
Chawa maarufu na mtangazaji wa CloudsFm Mwijaku, amesema kama ikitokea akatangulia kufa basi mwili wake usizikwe mpaka Rais Samia afike kumzika.
Mwijaku ameandika wosia wake kwenye ukurasa wake wa "X",
"WOSIA-ikitokea nimetangualia mbele ya thki kabla ya Rais wetu Samia Tafadhali familia yangu NISIZIKWE MPAKA MAMA ANGU Samia Suluhu afike ndio nizikwe . Tafadhali mama naomba uje unizike kama nitakutangulia mama" - Mwijaku
View attachment 2907162
Nini maoni yako?
✍️ Mjanja M1