Mwili uliokufa kuweza kurudishiwa uhai ndani ya maabara kubwa

zingine zote mnazoziitaga "kick" ni mbwembwe hii ndio kutafuta kiki kiukweli hata wao wanajua ni Impossible
 
Upi ni ukweli kuhusu THE PHILADELPHIA EXPERIMENT

post za hiyo cern project ipo ndani ya huo uzi wa mshikaji alikuwa ameupost nikagongea nondo huko scrol kushuka chinii uupitieee utaona mzigo mkuuu
CERN Accelerating science forum au website wameelezea vizuri sana wameelezea mishe mzima juu ya kutumia LHC kugundua hizo Dark energy,dark matter kupitia hiyo mission ya wormhole ,,inshort huwa nawafuatilia sana kila wanachofanya but inshu inakuja kuwa wanachopost ni 20% ya total mission reached na 80% back wanaziweka kama secret hivi,,ndo mana taarifa nyingi tunazipaa bada ya mision kukamilika...tunaweza kubishana habari zao kumbe wao sasa hivi wapo kwenye INTERGARACTIC CENTRE huko wanafanya yao,,,,any way lets keep learning coz knowlege is more important than anything
 
Mkuu hapo kwenye red uliposema "wana uwezo wa kutengeneza damu" ina maana mpaka sasa kuna damu ya kutengeneza "artificial blood?"

Binafsi sijawahi kusikia kama kuna artificial blood ambayo kuna binadamu kaongezewa! Bali najua ni lazima binadamu mmoja amsaidie damu mwingine kama group zao zinaendana,

Naomba kujua zaidi hapo uliposema wanaweza kutengeneza damu.
 
kabla hajakujibu naomba nikueleweshe kitu hapo pia,,ni hivi wale jamaa wamefikai hatua ya kutengeneza kila organ sasa hivi,,hawajatengeneza na kuanza kusambaza ulimwenguni naomba hiyo uelewe kwanza,,,wamefanikiwa kutengeneza as the result from their experiment ...ile ishu kutengeneza ni garama san hawaweza anza kudonate kwa watu eti kisa wamefanikiwaa but hiyo ni plani ya badae...ilw washafanikiwa kufanya hayo yote but kuna experiment nyingi sana zinafanyika kimya kimya ...kuna watu wanapaswa kuwa model ya experiment hizo za organ transplant na mara nyingi huwa ni wafungwa...hiyo ni siri lakini usije ukaanza kuwaza mengi but nchi zilizoenedlea ziantumia wafungwa wa vifungo vya maisha kufanyiwa experiment za mambo yao wanayoyajua wao...but huwa ni siri sana,,dawa nyingi zinazotengenezwa zinafanyiwa check up kwea wafungwa kama akibaahatika kapona ndo zinaingizwa mjini but wale jamaa ni shidaa,,usiombe ukawa sample space...
 
Hawatafanikiwa,ni Yesu tu ndie aliekufa na akafufuka kwa uwezo wa Mungu...
 


Nimeweka hivyo kumaanisha mambo yote hayo yanawezekana iwe sasa au kwa siku za usoni, nilikua naweka msisitizo kwamba suala la uhai hata iwe karne ya mia ngapi, ni gumu sana.

Wangeweza kuwa na ubavu wa kuwa na uhai kama gas kwenye mitungi kwamba ukikata pumzi unaunganishwa fasta fasta naona ingekua afadhali kuliko hii ya kugandisha kisha uhuishe.
 
Maarifa yataongezeka, dalili za mwisho, ngoja wathibitishe hayo!
 
kila kitu kinapositiwa kwenye hiyo issue ya cern project na pia wanatafuta wanasayansi wenye uwezo wa kufanya nao kazi pale wanaposhindwa kwahiyo hata kama kuna mwanasayansi wa kiafrica anaweza kufanya nao kazi ni anajisalili tuu hata kama una mawazo yako unawapostia tuu


ila cern imejilink na blue beam project ambayo hii ndio inamipango mibaya na ya siri hii blue beam ndio huwezi jua walipofika ila tawi la blue beam ambalo ndio cern project kila kitu kipo wazi kumbuka wanafanya hii project huku wanatafuta wanasayansi hivyo lazima kila wanapofikia au wanapogomea watangaze hadharani ili wapate wa juzi wakiamini kila mtu duniani kuna kipengele anachoweza kuwasaidia sio hao wachache watajua kila kitu
 
tatizo hizo unazosema organ zilizotengenezwa zina hata living cell moja tuu? kama hazina living cell usiziite organ ila hizo ni model za organ tu ni sawa na mtu kutengeneza kiunzi kinachoonekana kama fuvu la mwili wa mwanadamu lakini si fuvu kweli
 
fact
 
hakuna hicho kitu wew unata kuleta maandiko ya kidini hapa na hayo ni yanamwongelea mpinga kristo ndie atakayepewa za nguvu za kuufufua mwili uliokufa ila si mwanadamu kumfufua mwanadamu mwenzake hili halijaandikwa popote
Ndugu hujui kama mpinga kristo inafanya kazi kupitia watu, ua unadhani ni majitu yasiyoonekana!
 
Ndugu hujui kama mpinga kristo inafanya kazi kupitia watu, ua unadhani ni majitu yasiyoonekana!
mpinga kristo unamjua kwani ni mwanadamu? wafuasi wa mpinga kristo ni wanadamu ila haijaandikwa kuwa wafuasi wa mpinga kristo watakuwa na uwezo wa kuufufua mwili badala yake imeoneshwa mpinga kristo mwenyewe ndie aliyepewa nguvu za kuufufua mwili tena kwa muda tuu si ana nguvu hizo forever

hapo tumehamia kwenye maswala ya kiroho ila hapa tunataka ile actual science inayoelezeka je mwli utarudishiwa uhai?
 
Mungu wangu, wanataka nini hawa, ila mawazo haya ni mazuri
 
very true ""
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…