Mamndenyi
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 43,242
- 60,939
Ninawaza sana ukaribu wake na Mange.Nani anaweza kuwa na mke mwenye urafiki na ukaribu na mange?
Huyo mama pamoja na kuwa na PhD Ila alikua bogus
Huku mange akiichana serikali na watu wake that educated woman aliwezaje kuwa naye, unless otherwise iwe ile ya ndege wa rangi moja huruka pamoja.
Na je hakuwa na mtoto ?