Mwili wangu umekuwa na shoti nyingi sana

Ok asante
 
Hii ni kawaida ya static electricity. Mimi pia kuna mtu nikimshika mkono mara nyingine tunapata “shot” ndogo 😅. Mara nyingi husababishwa na chaji kujikusanya mwilini, hasa kwenye mazingira makavu au ukiwa umevaa nguo/material zinazozalisha static. Sio lazima iwe tatizo la kiafya.
 
Kuna shida na earthing nyumbani kwako, angalia vizuri kwa kuita fundi. Kuna siku nliishi mbagala kongowe so usiku nikasikia jirani anakemea mapepo hakulala usiku kucha, kesho yake toka asubuhi hadi jioni anasali tu, na usiku tena anasali mda mrefu, ilienda kama siku 4 hivi ikabidi nimuulize kulikoni, akaanza kusema shetani ashindwe vitu vyote akivishila anatetemeshwa, akideki anatetemesshwa. Nikamweleza kaite fundi umeme kuna shida ya umeme.
Tukio la2 house girl wetu vtumetoka home tunarudi tukamkuta amekaa nje ana njaa balaa, kumuuliza kulikoni anasema kila anachoguza anapigwa kofi na mtu asiyeonekana, naye anasema nyumba yenu ina mapepo. Ilianzia kwwnye frij, akaona aanze kudeki anakapigwa kofi so angalia earthing kuna umeme kidogo unavuja
 
Sawa ila shot zinatokea hata nikiwa nje na nyumbani
 
Bila shaka unachezea simu muda mrefu
 
Siombei ila uwe makini mvua ikinyesha. Radi inakuhusu
 
Kafanye MRI Kucheck total spine( the entire spine (cervical, thoracic and lumbar regions).or else nenda kwa spine specialist

Symptoms kama hizo kama na zinatokea Mara kwa Mara usizipuuze

All the best
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…