Sweet16
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 5,314
- 9,215
Inamaana we na chimano hamtofautianiPorojoo tu hizoo Kama porojo nyingine
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inamaana we na chimano hamtofautianiPorojoo tu hizoo Kama porojo nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna hoja, hebu nitoleee gubu lako hapa. Nyokoooooooh.Sawa shoga la Jamii forum. Ushauri wa bure mrudie Mungu kwa imani yako hizo tabia za kuingiliwa na wanaume wenzako ni fedhea kwa Wazazi wako...Yaan baba na mama yako wanajua kabisa wewe uwa unaingiliwa [emoji87][emoji87]
Idadi yao nikubwa sana ni mamillion wanajificha kwenye mitandao ya kutafuta wapenzi sasa wanatafuta mbinu za kuonekana hadharaniIsije ikawa hawa watu maarufu wanatumiwa makusudi kabisa ili kupromote huo uchafu.
Wala sio Mambo ya ku-promote, Nyakati zimebadilika sio Nyakati zile tena.Isije ikawa hawa watu maarufu wanatumiwa makusudi kabisa ili kupromote huo uchafu.
Hahaha hapana, ila yeye kuwa hivyo kwangu sio tatizo Wala kikwazo. Kama ndio hisia zake na anafurahia basi kazi iendeleeInamaana we na chimano hamtofautiani
Kuwa upate watoto ndo utajua ni jinsi gani inaumiza na kuchanganyaHahaha hapana, ila yeye kuwa hivyo kwangu sio tatizo Wala kikwazo. Kama ndio hisia zake na anafurahia basi kazi iendelee
Niambie Jinsia yako tafadhali.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana.
Wasipo kuelewa hapa basii tenaNadhani Africa bado tuna uelewa mdogo sana kuhusu sexuality. Mara nyingi tunadhani mapunga wanafanya makusudi ili kupata fedha...lakini ukichunguza utaona kuna watu wana fedha zao lakini bado wanahitaji kumegwa na wanatumia fedha ili wamegwe.
Baada ya tafiti nyingi sasa inajulikana kiwa upunga ni ulemavu kama ulivyo ulemavu mwingime wa macho, masikio, miguu, etc.
Mtu hachagui kuzaliwa mlemavu ila anajikuta ni mlemavu. Ndo maana nchi zilizoendelea na hata baadhi ya makanisa wamefika mahali wakaamua kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja.
Tushukuru Mungu kwa kuzaliwa straight...tuheshimu sexuality za wengine.
Hakuna haja ya kumtukana au kabeza. Aliyekuumba wewe kuwa.straight ndo aliyemuumba yeye kuwa hivyo.
Kuna mwenzio hapa mtaani kwetu anaitwa Zahoro.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekuja baba, vipi hujambo nn?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] msalimie sana, mwambie nampa hi.Kuna mwenzio hapa mtaani kwetu anaitwa Zahoro.
Nikishakuambia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niambie Jinsia yako tafadhali.
Ubarikiwe sana, pita kwa Mangi pata chochote ukitakacho bill jui yangu. Umejua kunikosha na haya maneno yako. Hope ur upstairs. [emoji7][emoji7][emoji7]Nadhani Africa bado tuna uelewa mdogo sana kuhusu sexuality. Mara nyingi tunadhani mapunga wanafanya makusudi ili kupata fedha...lakini ukichunguza utaona kuna watu wana fedha zao lakini bado wanahitaji kumegwa na wanatumia fedha ili wamegwe.
Baada ya tafiti nyingi sasa inajulikana kiwa upunga ni ulemavu kama ulivyo ulemavu mwingime wa macho, masikio, miguu, etc.
Mtu hachagui kuzaliwa mlemavu ila anajikuta ni mlemavu. Ndo maana nchi zilizoendelea na hata baadhi ya makanisa wamefika mahali wakaamua kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja.
Tushukuru Mungu kwa kuzaliwa straight...tuheshimu sexuality za wengine.
Hakuna haja ya kumtukana au kabeza. Aliyekuumba wewe kuwa.straight ndo aliyemuumba yeye kuwa hivyo.
kama ni hivyo, ilikuaje mungu aka angamiza sodoma na Gomorra ??Nadhani Africa bado tuna uelewa mdogo sana kuhusu sexuality. Mara nyingi tunadhani mapunga wanafanya makusudi ili kupata fedha...lakini ukichunguza utaona kuna watu wana fedha zao lakini bado wanahitaji kumegwa na wanatumia fedha ili wamegwe.
Baada ya tafiti nyingi sasa inajulikana kiwa upunga ni ulemavu kama ulivyo ulemavu mwingime wa macho, masikio, miguu, etc.
Mtu hachagui kuzaliwa mlemavu ila anajikuta ni mlemavu. Ndo maana nchi zilizoendelea na hata baadhi ya makanisa wamefika mahali wakaamua kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja.
Tushukuru Mungu kwa kuzaliwa straight...tuheshimu sexuality za wengine.
Hakuna haja ya kumtukana au kabeza. Aliyekuumba wewe kuwa.straight ndo aliyemuumba yeye kuwa hivyo.
Uhuru bila mipaka hizo sasa ni fujoNadhani Africa bado tuna uelewa mdogo sana kuhusu sexuality. Mara nyingi tunadhani mapunga wanafanya makusudi ili kupata fedha...lakini ukichunguza utaona kuna watu wana fedha zao lakini bado wanahitaji kumegwa na wanatumia fedha ili wamegwe.
Baada ya tafiti nyingi sasa inajulikana kiwa upunga ni ulemavu kama ulivyo ulemavu mwingime wa macho, masikio, miguu, etc.
Mtu hachagui kuzaliwa mlemavu ila anajikuta ni mlemavu. Ndo maana nchi zilizoendelea na hata baadhi ya makanisa wamefika mahali wakaamua kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja.
Tushukuru Mungu kwa kuzaliwa straight...tuheshimu sexuality za wengine.
Hakuna haja ya kumtukana au kabeza. Aliyekuumba wewe kuwa.straight ndo aliyemuumba yeye kuwa hivyo.
Hapana . Umeelewa vibaya.Uhuru bila mipaka hizo sasa ni fujo
Kuna watu wanazaliwa wanakuja kuwa wanataka tu kula nyama za watu
Kuna watu wao wanajikuta tu wanataka kuwa wana wamega dada zao au watoto wao kabisa
Kuna watu wao wanajikuta wanapenda tu kuua mtu ndio anajisikia faraja nk nk
Je hawa waachwe kwakuwa hawakuchagua kuwa na “ulemavu” huo?
Trust me huu upuuzi utakuja kupelekea vizazi vijavyo watu watakua wanao watoto wao na wataruhusiwa kula hadi nyama za watu
Haki za kipuuzi hizi
Hata kichaa anathibitiwa bana