Mwimbaji maarufu wa Muziki wa Pop nchini Kenya toka Sauti Sol ajitokeza kama Mpenzi wa Jinsia moja

Sawa shoga la Jamii forum. Ushauri wa bure mrudie Mungu kwa imani yako hizo tabia za kuingiliwa na wanaume wenzako ni fedhea kwa Wazazi wako...Yaan baba na mama yako wanajua kabisa wewe uwa unaingiliwa [emoji87][emoji87]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huna hoja, hebu nitoleee gubu lako hapa. Nyokoooooooh.
 
Nadhani Africa bado tuna uelewa mdogo sana kuhusu sexuality. Mara nyingi tunadhani mapunga wanafanya makusudi ili kupata fedha...lakini ukichunguza utaona kuna watu wana fedha zao lakini bado wanahitaji kumegwa na wanatumia fedha ili wamegwe.

Baada ya tafiti nyingi sasa inajulikana kiwa upunga ni ulemavu kama ulivyo ulemavu mwingime wa macho, masikio, miguu, etc.

Mtu hachagui kuzaliwa mlemavu ila anajikuta ni mlemavu. Ndo maana nchi zilizoendelea na hata baadhi ya makanisa wamefika mahali wakaamua kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja.

Tushukuru Mungu kwa kuzaliwa straight...tuheshimu sexuality za wengine.

Hakuna haja ya kumtukana au kabeza. Aliyekuumba wewe kuwa.straight ndo aliyemuumba yeye kuwa hivyo.
 
Wasipo kuelewa hapa basii tena
 
Ubarikiwe sana, pita kwa Mangi pata chochote ukitakacho bill jui yangu. Umejua kunikosha na haya maneno yako. Hope ur upstairs. [emoji7][emoji7][emoji7]
 
Nadhani Africa bado tuna uelewa mdogo sana kuhusu sexuality. Mara nyingi tunadhani mapunga wanafanya makusudi ili kupata fedha...lakini ukichunguza utaona kuna watu wana fedha zao lakini bado wanahitaji kumegwa na wanatumia fedha ili wamegwe.

Baada ya tafiti nyingi sasa inajulikana kiwa upunga ni ulemavu kama ulivyo ulemavu mwingime wa macho, masikio, miguu, etc.

Mtu hachagui kuzaliwa mlemavu ila anajikuta ni mlemavu. Ndo maana nchi zilizoendelea na hata baadhi ya makanisa wamefika mahali wakaamua kuhalalisha mapenzi ya jinsia moja.

Tushukuru Mungu kwa kuzaliwa straight...tuheshimu sexuality za wengine.

Hakuna haja ya kumtukana au kabeza. Aliyekuumba wewe kuwa.straight ndo aliyemuumba yeye kuwa hivyo.
kama ni hivyo, ilikuaje mungu aka angamiza sodoma na Gomorra ??
 
Uhuru bila mipaka hizo sasa ni fujo

Kuna watu wanazaliwa wanakuja kuwa wanataka tu kula nyama za watu
Kuna watu wao wanajikuta tu wanataka kuwa wana wamega dada zao au watoto wao kabisa
Kuna watu wao wanajikuta wanapenda tu kuua mtu ndio anajisikia faraja nk nk
Je hawa waachwe kwakuwa hawakuchagua kuwa na “ulemavu” huo?

Trust me huu upuuzi utakuja kupelekea vizazi vijavyo watu watakua wanao watoto wao na wataruhusiwa kula hadi nyama za watu
Haki za kipuuzi hizi
Hata kichaa anathibitiwa bana
 
Hapana . Umeelewa vibaya.
Sasa unachoongelea wewe ni uhalifu .

Hawa ndugu zetu hawamdhuru mtu. Ni maamuzi yao na kwa furaha zao juu ya miili yao wenyewe. Kama ilivyo kwako. Watu wazima hao na maamuzi yao.
Kama Wakiona wako kwenye wrong direction watatafuta tiba na ushauri,wakiona wako Ok hayaa. Maisha kuchagua.

Achana na walawiti hao ni wahalifu Kama wahalifu wengine.
 
Back
Top Bottom