Mwisho wa DUNIA ni kesho tarehe 23-09-2017

Yawezekana ikawa kweli maana hata huku kwetu , mkoa wa rukwa tangu juzi kuna upepo mkali usiku na mchana hali iliyopelekea kukatwa kwa umeme yaani Jana tulikuwa tunaogopa hata kutoka nje.
 
Bora twende kwa baba tukaishi huko ....! Hapa bongo mnatutesa mno.....!
 
Awamu hii imekuja na neema mara kupatwa kwa mwezi mara noah mara paap mwisho wa dunia long live our president!
 
Ww na hao wazungu hamna akili, kwahiyo umeani kabisa na Bible inasemaje?
We ndo hunaakili. Wazungu mpaka waligundua binadamu wa kwanza aliishi Tanzania? Japo hawajatuambia km huyo binadamu alikuwa mzungu au mweusi....
 
Yawezekana ikawa kweli maana hata huku kwetu , mkoa wa rukwa tangu juzi kuna upepo mkali usiku na mchana hali iliyopelekea kukatwa kwa umeme yaani Jana tulikuwa tunaogopa hata kutoka nje.
mkuu kwa suala la upepo hasa majira ya asbuhi/mchana, tangu juzi upepo unavuma baraa pande hizi za tabora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…