Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,404
- 6,969
Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?
Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?
Kwa nini mlishindwa kusoma Pyschology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?