Kitu wanachadema hawajui ni kwamba, mama samia ni mtu wa haki sana, hapendi kuonea watu, na ni mtu wa dini. ukiona mtu bado anashitakiwa, jua kuna ukweli, huyo mtu wenu haonewi ndio maana soon after uchaguzi alijua kuwa ameshajulikana kwasababu watu wake walishakamatwa, akawa anakimbilia ulaya analandalanda, shida ni kwamba mademu zake kina Hilda newton na wengine wengi aliwaacha hapa na ulaya hajazoea kuishi kama mwenzie mbelgiji, akarudi baada ya mapatano kadhaa ya wazungu.
pili, angalia hata tundu lisu, muda wote wa kampeni ametukana serikali apendavyo na hajafanywa kitu, ila alipokosa urais akaanza mbio ati anaogopa kushitakiwa Mahakamani, why only baada ya uchaguzi? ni kwasababu walijua walichokuwa wamepanga, hao wanasiasa wanajua kabisa walifanya makosa na kiukweli nafikiri wanatakiwa kusamehewa ila mtu huwa anasamehewa baada ya kutubu sio kujifanya mjanja na kuchafua nchi wakati nyumba yako imejaa vioo. kuna siku mtakuja kuujua ukweli.