Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 33,092
- 96,127
Mbona kama umepaniki! Watanzania wanasubiria tu Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili wawasulubishe. By the way, vipi huwa unamtembelea jamaa yako Lengai Ole Sabaya kule Kisongo?Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?
Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?
Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
Au majeshi yote umehamishia Kisutu?