Mwisho wa Mbowe kisiasa ni worst ever seen in Tanzania

Kitu wanachadema hawajui ni kwamba, mama samia ni mtu wa haki sana, hapendi kuonea watu, na ni mtu wa dini. ukiona mtu bado anashitakiwa, jua kuna ukweli, huyo mtu wenu haonewi ndio maana soon after uchaguzi alijua kuwa ameshajulikana kwasababu watu wake walishakamatwa, akawa anakimbilia ulaya analandalanda, shida ni kwamba mademu zake kina Hilda newton na wengine wengi aliwaacha hapa na ulaya hajazoea kuishi kama mwenzie mbelgiji, akarudi baada ya mapatano kadhaa ya wazungu.

pili, angalia hata tundu lisu, muda wote wa kampeni ametukana serikali apendavyo na hajafanywa kitu, ila alipokosa urais akaanza mbio ati anaogopa kushitakiwa Mahakamani, why only baada ya uchaguzi? ni kwasababu walijua walichokuwa wamepanga, hao wanasiasa wanajua kabisa walifanya makosa na kiukweli nafikiri wanatakiwa kusamehewa ila mtu huwa anasamehewa baada ya kutubu sio kujifanya mjanja na kuchafua nchi wakati nyumba yako imejaa vioo. kuna siku mtakuja kuujua ukweli.

Huyo mcha Mungu alikwambia aliko Moses Lijenje?
 
Utayajutia maneno haya, tutakukumnusha, bahati nzuri JF ni higadhi thabiti
 
Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?

Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?

Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
Yote yanawezekana chini ya jua.......
kasome historia ya raisi wa Zambia wa sasa alikaa jela mara ngapi!!?
 
Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?

Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?

Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
Ata kuandika tu haujui ivyo ni wazi kuwa uwezo wako wa akili na elimu ni mdogo sana.

Inahitajika akili kubwa kujua hatima ya Mbowe,wenye akili wanajua Mbowe kapata political mileage ndio maana na wewe anakuwasha ovyo.

Mbowe ni Mandela wa Tanzania! Tuko nae daima!
 
rubbish ni wewe. tafuta pesa hao wanasiasa sio wenzako ndio maana pamoja na yote unayoyaona biashara zao zimesimama na wanazidi kuwa matajiri , wakati wewe unapigwa virungu badala yao. funguka.
Jinga sana wew linaongea km linajua mtu.Watu wanafuatilia siasa na pesa tena za haki sio kama alivyokua anafanya mumeo sabaya-jambazi
 
Kitu wanachadema hawajui ni kwamba, mama samia ni mtu wa haki sana, hapendi kuonea watu, na ni mtu wa dini. ukiona mtu bado anashitakiwa, jua kuna ukweli

pili, angalia hata tundu lisu, muda wote wa kampeni ametukana serikali apendavyo na hajafanywa kitu
Taja matusi mawili tu ambayo Lissu aliitukana serikali? Serikali ingemfanya nini wakati hakukuwa na tusi bali kampeni!

Ata shetani anaitwa mtakatifu kwa wafuasi wake misukule.

Ata msagaji na anaweza kuwa malaika kwa anaesagwa.

Ata mwizi,mshirikina na fisadi uitwa shujaa! Wenye akili wamenielewa.
 
muda wote wa kampeni ametukana serikali apendavyo na hajafanywa kitu
Same to Bobi Wine, hawakufanywa kitu wakati wa kampeni kwa sababu obviously ingeonekana ni JPM au M7 wamewahujumu ukizingatia jicho la kimataifa lilikua alert. Ila uchaguzi ukiisha yanatokea kma yale ya Diane Rwigare wa Rwanda ama Miguna Miguna baada ya uchaguzi wa Kenya!! Ama Jussa Ladhu/Mazrui wa ACT Zanzibar walivyotekwa baada ya uchaguz na sio kabla And so on.

Kwa hiyo hoja yako haina mashiko maana tuna mifano hai Afrika mashariki na kati.
 
Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?

Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?

Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
2025 CCM inapata ushindi wa asilimia 200
 
Ni lazima Mbowe apitie hayo Ili katiba mpya ipatikane
 
Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?

Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?

Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
Ni mwehu tu anayeweza kuamini kuwa hata ukusanye wanachadema wote uwape mapanga na mashoka waanze kukata miti na kuitandaza barabarani kuanzia Dar mpaka Iringa wataweza kufanikiwa, hata ukiwachukua wakazi wote wa Dar hawataweza kufanikiwa kukata na kuitandaza barabarani miti hiyo.
Mkoloni aliondoka Tanganyika bila kuwafunga au kuwaua wanasiasa wa Tanganyika.
 
Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?

Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?

Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?

Fala wewe
 
Kitu wanachadema hawajui ni kwamba, mama samia ni mtu wa haki sana, hapendi kuonea watu, na ni mtu wa dini. ukiona mtu bado anashitakiwa, jua kuna ukweli, huyo mtu wenu haonewi ndio maana soon after uchaguzi alijua kuwa ameshajulikana kwasababu watu wake walishakamatwa, akawa anakimbilia ulaya analandalanda, shida ni kwamba mademu zake kina Hilda newton na wengine wengi aliwaacha hapa na ulaya hajazoea kuishi kama mwenzie mbelgiji, akarudi baada ya mapatano kadhaa ya wazungu.

pili, angalia hata tundu lisu, muda wote wa kampeni ametukana serikali apendavyo na hajafanywa kitu, ila alipokosa urais akaanza mbio ati anaogopa kushitakiwa Mahakamani, why only baada ya uchaguzi? ni kwasababu walijua walichokuwa wamepanga, hao wanasiasa wanajua kabisa walifanya makosa na kiukweli nafikiri wanatakiwa kusamehewa ila mtu huwa anasamehewa baada ya kutubu sio kujifanya mjanja na kuchafua nchi wakati nyumba yako imejaa vioo. kuna siku mtakuja kuujua ukweli.
Sawa Tagaaa

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom