Mwisho wa Mbowe kisiasa ni worst ever seen in Tanzania

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?

Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?

Kwa nini mlishindwa kusoma Pyschology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
 
Kitu wanachadema hawajui ni kwamba, mama samia ni mtu wa haki sana, hapendi kuonea watu, na ni mtu wa dini. ukiona mtu bado anashitakiwa, jua kuna ukweli, huyo mtu wenu haonewi ndio maana soon after uchaguzi alijua kuwa ameshajulikana kwasababu watu wake walishakamatwa, akawa anakimbilia ulaya analandalanda, shida ni kwamba mademu zake kina Hilda newton na wengine wengi aliwaacha hapa na ulaya hajazoea kuishi kama mwenzie mbelgiji, akarudi baada ya mapatano kadhaa ya wazungu.

pili, angalia hata tundu lisu, muda wote wa kampeni ametukana serikali apendavyo na hajafanywa kitu, ila alipokosa urais akaanza mbio ati anaogopa kushitakiwa Mahakamani, why only baada ya uchaguzi? ni kwasababu walijua walichokuwa wamepanga, hao wanasiasa wanajua kabisa walifanya makosa na kiukweli nafikiri wanatakiwa kusamehewa ila mtu huwa anasamehewa baada ya kutubu sio kujifanya mjanja na kuchafua nchi wakati nyumba yako imejaa vioo. kuna siku mtakuja kuujua ukweli.
 
Mataga mnamuwaza mbowe, tuliza izo kende
 
Mmeo Sabaya atasimama tena after mvua 30?
 
Sawa Powe Kaaya[emoji1]
 
Chizi sio lazima kuokota makopo.
 
Hii ni pumba kubwa sana elimu yetu inazalisha watu wa hovyo sana na wapumbavu sijui ni kizazi cha hovyo ktk nyakat hizi
 
Rubbish
 
Mavi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…