Mwisho wa Mbowe kisiasa ni worst ever seen in Tanzania

Mbona kama umepaniki! Watanzania wanasubiria tu Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili wawasulubishe. By the way, vipi huwa unamtembelea jamaa yako Lengai Ole Sabaya kule Kisongo?

Au majeshi yote umehamishia Kisutu?
 
Kwa kuwa Alisha andaliwa hukumu miaka Tano badi sita tangizi wabambikaji kama timu wanajua hatma ya maigizo YaoπŸƒ.
 

Hangaikeni na vi TLP Chadema siyo size yenu
 
Hangaikeni na vi TLP Chadema siyo size yenu
sio saizi yake nani sasa, mimi sio mwanaccm wala cdm ila nasema ukweli. kwanini boss wenu alikimbilia ulaya mara tu baada ya uchaguzi, si alijua vijana wake walishakamatwa na walichokifanya kimejulikana na hawawezi kupona mkono wa sheria? hivi huwa mnafikiri hao watu ni malaika?
 

Kwani nani kakwambia wewe CCM?

Mwachieni Lijenje wajomba!
 
Kisa tu anadai katiba mpya?
 
Kaka, tumia akili. Kesi hii inanuka. hata ukifikiri Mbowe ni mjinga (hadi sasa nimesikia tu yeye ni mbaya), mjinga gani anadhani anaweza kushinda serikali kwa kuajiri watu watatu, kwa kuwekeza lakhi 2, 3 ?

Hata vituo 4 au 5 vinachomwa moto katika miji kadhaa, inbadilisha nini? Nimewahi kuona kituo cha petroli kilivyowaka, mitaa 5 ilifungwa, menginevyo maisha kama kawaida...

Au miti kadhaa kuanguka barabarani (hakuna iliyoanguka) - Bana hapa Tanzania, ukiacha vijana wadogo wa mjini, kila dereva anajua kupita barabara yenye mashimo kina hadi jehenam na kuvuka mabwawa barabarani .... Hata kama mti unaanguka barabarani, mabasi mawili yanasimama, abiria 60 wanashuka na wanavuta mti ule kando -

Labda yeye ni mtu mabya sana, lakini mpango wa kijinga kama huo?
 
hata tundu lisu angekuwa hapa angeunganishwa kwasababu yote waliyofanya walifanya kwa pamoja. acha ujinga. usifikiri serikali hawajui kilichotokea. ndio maana tundu lisu hatibiwi ila kurudi hapa anaogpoa kwasababu ushahidi upo, na inawezekana ukatolewa vizuri tu pale. we unafikiri kwanini wazungu wamenyamaza? ni kwasababu wameona ukweli wakaamua wapige kimya.
 
Mbona kama umepaniki! Watanzania wanasubiria tu Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili wawasulubishe. By the way, vipi huwa unamtembelea jamaa yako Lengai Ole Sabaya kule Kisongo?

Au majeshi yote umehamishia Kisutu?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mkuu stick to the point.
 
Hivi wewe uliesoma unaweza kuamini na akili zako kuwa Kesi ya Mbowe inamashiko hata kw trend ya mahakamani? Mbowe ni mtu AnaYeongoza kwa Style ya Siasa za kistaarabu nchi hii.kama kuna mtu anasmini kuw hii kesi uchwara itamfanya asiwe na nguvu ya kisiasa basi Akasome tena!!
 
Njaa mbaya Sana Kiongozi!!Kuna wakati mtu haongei ila njaa humfanyA aongee!!
 
Tayari caution statement ya Adam Kasekwa imepokelewa kama ushahidi alafu unachukulia poa kama Tate Mkuu !
 
Tutajie waliokamatwa
 
Njaa mbaya Sana Kiongozi!!Kuna wakati mtu haongei ila njaa humfanyA aongee!!
ni kweli, njaa ni mbaya, watu mnapigwa virungu kwa hasira za njaa kumbe viongozi wenu wanakaa meza moja na wanaowapiga ninyi na wanachukua mpunga. mtakuja kukumbuka shuka kumekucha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…