KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Gaidi ni ule mzoga uliokuwa ukiwatukana watu hadharaniMnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?
Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?
Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
Chizi huwa anaongea mambo hata yeye mwenyewe huwa hayaelewi. Yanamtoka tu kama vile........sio saizi yake nani sasa, mimi sio mwanaccm wala cdm ila nasema ukweli. kwanini boss wenu alikimbilia ulaya mara tu baada ya uchaguzi, si alijua vijana wake walishakamatwa na walichokifanya kimejulikana na hawawezi kupona mkono wa sheria? hivi huwa mnafikiri hao watu ni malaika?
Sabaya atakuja kuwa waziri mkuu Kama Sokoine Gaidi Mbowe ndo imeisha iyoMmeo Sabaya atasimama tena after mvua 30?
Sijui kwanini Machizi wanajionaga wana akili nyingi sanahata tundu lisu angekuwa hapa angeunganishwa kwasababu yote waliyofanya walifanya kwa pamoja. acha ujinga. usifikiri serikali hawajui kilichotokea. ndio maana tundu lisu hatibiwi ila kurudi hapa anaogpoa kwasababu ushahidi upo, na inawezekana ukatolewa vizuri tu pale. we unafikiri kwanini wazungu wamenyamaza? ni kwasababu wameona ukweli wakaamua wapige kimya.
Wewe jamaa Swali langu lilitaka kujua wewe ni Pimbi kwa kiasi gani. Sasa nmejua. Endelea!!kwani mbowe ameshitakiwa peke yake, we pimbi nini?
Point au pumba? Kilangila.๐๐๐ Mkuu stick to the point.
Duh! Kilangila.Sabaya atakuja kuwa waziri mkuu Kama Sokoine Gaidi Mbowe ndo imeisha iyo
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kitu ambacho hamjui ni kwamba Sabaya hawezi kukaa hata miaka miwili jelaMmeo Sabaya atasimama tena after mvua 30?
We ni kiazKitu wanachadema hawajui ni kwamba, mama samia ni mtu wa haki sana, hapendi kuonea watu, na ni mtu wa dini. ukiona mtu bado anashitakiwa, jua kuna ukweli, huyo mtu wenu haonewi ndio maana soon after uchaguzi alijua kuwa ameshajulikana kwasababu watu wake walishakamatwa, akawa anakimbilia ulaya analandalanda, shida ni kwamba mademu zake kina Hilda newton na wengine wengi aliwaacha hapa na ulaya hajazoea kuishi kama mwenzie mbelgiji, akarudi baada ya mapatano kadhaa ya wazungu.
pili, angalia hata tundu lisu, muda wote wa kampeni ametukana serikali apendavyo na hajafanywa kitu, ila alipokosa urais akaanza mbio ati anaogopa kushitakiwa Mahakamani, why only baada ya uchaguzi? ni kwasababu walijua walichokuwa wamepanga, hao wanasiasa wanajua kabisa walifanya makosa na kiukweli nafikiri wanatakiwa kusamehewa ila mtu huwa anasamehewa baada ya kutubu sio kujifanya mjanja na kuchafua nchi wakati nyumba yako imejaa vioo. kuna siku mtakuja kuujua ukweli.
Pychology ndo Nini wewe kilaza ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ wewe ndo walewale wa terrorism ni utalii. TakatakaMnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?
Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?
Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
Pychology ndo nini we kilaza ๐ฎ๐ฎ๐ฎ wewe ndo walewale utopolo wa CCM a.k.a mazuzu, ambao terrorism wanasema ni utalii. Takataka ๐ฎMnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?
Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?
Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
Sio typing error ni kwamba hamjui. Wewe ni sawa na huyo shahid wa 3 wa serikali ambae kwenye ripoti conspiracy anaandika " consipirancy" halaf anaenda kulia mahakamani eti ni typing error!Typing error we kenge.
Power MwanzaSawa Powe Kaaya[emoji1]
Hata MAKABURU walisema hivyo hivyo juu ya Mandela !Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?
Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?
Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
Subiri anatakapopewa mvua za kutosha ndio utaona kwanini walikosa usingizi.Mwamba anawakosesha usingizi
Mandela alipotoa gerezani hakufanya siasa na wananchi kumuelewa?Mnataka kutuaminisha kuwa atasimama tena majukwaani na kudai kura ajili ya Chadema?
Taifa hili ambalo hata kama halitamtia hatiani tayari halina imani naye tena litamsikikiza yeye na Chama chake?
Kwa nini mlishindwa kusoma Pychology ya watanzania na kuwatambua kuwa hawako tayari juu ya haya mliyopanga kuyafanya?
Pychology ndo Nini wewe kilaza ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ wewe ndo walewale wa terrorism ni utalii. Takataka
Ni mtu wa dini lakini siyo mcha Mungu.Kitu wanachadema hawajui ni kwamba, mama samia ni mtu wa haki sana, hapendi kuonea watu, na ni mtu wa dini. ukiona mtu bado anashitakiwa, jua kuna ukweli, huyo mtu wenu haonewi ndio maana soon after uchaguzi alijua kuwa ameshajulikana kwasababu watu wake walishakamatwa, akawa anakimbilia ulaya analandalanda, shida ni kwamba mademu zake kina Hilda newton na wengine wengi aliwaacha hapa na ulaya hajazoea kuishi kama mwenzie mbelgiji, akarudi baada ya mapatano kadhaa ya wazungu.