Mwisho wa Mbowe kisiasa ni worst ever seen in Tanzania

Stupid analysis , from stupid people. Nikukumbushe tu nchi za scandinavia ndiyo zinaongoza kwa issues za ustawi wa jamii. Lakini kuna upinzani. Sembuse wewe nchi yako wanafunzi wanakaa chini miaka 60 baada ya uhuru. Watu walikosea unasema wanaitukana serikali.
Juha wewe
 
Wewe fala, achana na sisi,huna imani yenu wewe konokono wa CCM,siye Watanzania tuna Imani na Mbowe na CHADEMA.
Wauaji wakubwa nyie, fundisho mliopata bado hamjakoma, ngojeni muone kitakachowapata
 
Kuliko mwendazake aliyeiba kura huku akijiaminisha yeye ni Rais bora kuliko wote na kutengeneza mazingira ya kujiongezea muda madarakani kisha ghafla puh..!

Mbowa hajawa convicted bado na mpaka sasa hakuna ushahidi wowote wa maana uliotolewa mahakamani zaidi ya maelezo ya Adamoo aliyolazimishwa kutoa baada ya kuteswa
 
Umeandika uharisho tu ... Raisi wa south Africa alifungwa miaka 27 na akaja kuwa raisi, Raisi wa Zambia alishitakiwa kwa Ugaidi lakini leo ni Raisi na wengine Kibao leo wewe unaongea vitu gani?
 
Sema huna imani naye wewe usiyejielewa lakini Mbowe atakuwa Icon ya nchi.
 
Hawana cha kuogopa tena.2021 madiwani ilikuwa ni 100% na 2020 wabunge ilikuwa 99%.2025 itakuwa 200% # Wala hukuna haja ya kupiga kura
Ujasiri huo hawana labda jiwe afufuke,
 
Yaani ni Kama mmemwongezea mwendo wa mapambano. Wanaharakati wawe wa ndani na nje wamejua akili za watanzania.

Hata adui aliekuwa amejificha kutokujua Tanzania vizuri Sasa anaijua.

Kubalini katiba mpya, time huru muone Moto wake. Kama hmjaisahau CCM fasta Kama magofuli wenu.
 
Michepuko ya gaidi sabaya inarukaruka na kukanyagana... Fisadi na muuaji mwendazake amewaacha njia panda
 
Mbona kama umepaniki! Watanzania wanasubiria tu Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ili wawasulubishe. By the way, vipi huwa unamtembelea jamaa yako Lengai Ole Sabaya kule Kisongo?

Au majeshi yote umehamishia Kisutu?
Hakika akil
i yako inaitaji ukarabati tena ufahamu wako umeharibike. Thamiri ( conscious) ya mwanadamu ina uwezo wa kujua jambo bila kuambiwa au kupewa jibu hata kule mirembe wanajua kesi ya Mbowe ni ya namna gani. Na kwa kawaida ya mtu anaeonewa jinsi maonezi uanapozidi ndiyo anazidi kuongezeka.
 
Mimi siyo mwanachama wa Chadema na wala sifaidiki na kitu chochote kutokana siasa za Tanzania kwa sasa ila HAKIKA HAKUNA HAKI KATIKA MASHIKA HAYA. AUWAYE KWA UPAKA ATAUWAWA KWA UPANGA. JAMANI KAMA NYERERE ALIWATESA WENYE HAKI MOYO WAKE ULIFURAHI KWA MUDA ILA UZAO ALIOUACHA NDIYO UNATAABIKA. CHUNGUZA KWA MAKINI UZAO WAKE UNA HALI GANI LEO? HAKIKA UTAPATA JIBU LA WATESI WA KINA........HATA KAMA WATEZEEKA SALAMA KANSA YA LAANA HAITAWAACHA WATOTO WAO!!!!@@
 

Foo.lish!! Yaani kuendelea kwa kesi maana yake ni kuwa Mbowe ametenda ubaya unaosemwa?? Unasemaje Rais ni mtu wa haki wakati akizungumzia jambo hili alisema wenzie wamehukumiwa tayari wanatumikia vifungo vyao bado Mbowe. Ndio kinachoendelea mahakamani? Hujasikia kuwa washitakiwa wanne? Ni nani kati yao ameshahukumiwa na kutumikia kifungo??? Eti mtu wa dini - weye ni Mungu? Imani ya mtu inaonwa na Mungu pekee. Acha kujikombakomba na kujipendekeza, mtoto wa kiume.

Ukiacha chuki ya aina yoyote ile - utakuwa objective (sio neutral)!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…