Mwisho wa ndege za kivita, funzo la vita vya Ukraine na Urusi

Kwa upande wangu!!
Vita bado ni mbichi kote kote, mrusi amepoteza vikose na zana nyingi na bado anaendelea kupoteza wakati Ukraine nae anapoteza mara mbili zaidi wanajeshi,raia,vifaa,miundombinu na majengo muhimu kila kukicha! Hadi Sasa ni ngumu sana kutoa utabiri wa vita jinsi itakavyoisha! Na nani atakayeathirika zaidi
 
Putin alisema atakaeingilia ugomvi atampiga. Aanze basi kushambulia Marekani na washirika wake
 
Ameshindwa Ukraine ndio ataweza Finland. Aguse basi aone moto wake
 
Sawa mkuu, so unamaanisha yale masaa 72 ilikuwa ni uongo? Kama ni uongo hayo mambo undugu ntaaminije kuwa ni ya kweli?
 
Sawa mkuu, so unamaanisha yale masaa 72 ilikuwa ni uongo? Kama ni uongo hayo mambo undugu ntaaminije kuwa ni ya kweli?
Niletee uthibitisho wa hayo masaa 72 toka kwa mrusi
 
Unaenda kumkata mikono dada yako halafu unawaambia watu , siwezi kumuua huyu dada yangu, namkata tu mikono, hivi hizo ni akili au ujinga.

Muwe mnaangalia na vitu vya kushabikia basi.
Pale kimeo ni Zelensky na si ukraine yote, ndo maana walifanya mapinduzi kipindi cha nyuma ili awekwe kibaraka wa nato,,, mrusi hana shida na watu wa ukraine yeye ana shida na kirusi cha nato kilichopandikizwa ukraine
 
Russia anakalia maeneo ya Ukraine. Haitaji akili kubwa kujua nani mbabe
 
Hao watakutia njaa hawaelewi.
 
Russia kwa sasa inapambana na Us n NATO siyo Ukraine.Bila kuweka ushabiki mbele Russia bado ni tishio kwa US n nchi za Magharibi.
Anapiganaje na US wakati US hajapeleka hata kandege 1?
 
Unatumia ushahidi gani wa picha kuwa mmeharibu chochote cha Ukraine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…