Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Huwezi ingia Vita kiholera kisa mtu ameamua kukufanyia kebehi. Nchi yetu ( Tanzania) ni makini sana na hata Sasa itaangalia ila kama watahitaji watuchokoze na expansionism yao nao watajua hawajui. Askari lazima uwe mvumilivu hapo wamefanya kutupa zoezi Wala hakuna walicho Fanya Cha maana sana. Watadhani kuwa hatuna nguvu ila ni nani aliewahi toa nguvu halisi kwenye shughuli za kikanda bali ni fursa Fulani ya kusoma mazingira na kuona kama watatujia Nini tujihami.
Watanzania imefikia hatua tunaishi kwa mihemko kwenye mambo nyeti.

Please tuwe makini na tutoe taarifa za watu wasio watanzania(wahamiaji haramu) waliomo nchini ili kuendelea kuimarisha nchi yetu.
Tusibezane kiasi hiki hata familia Yako ukiwa wa kulialia jua huwezi kuwa imara.
 
Ila hata ivyo wenyewe hawapo sawa kuongozwa na mwanamke ila ni uzwa zwa wao wa kuendelea kukubali demokrasia
 
Maskini Nchi yangu! hamasa ya jeshi kwishney! Support ya wananchi kwa jeshi letu Kwishney!
Amini alipigwa na wananchi wote! Afadhali wakati wa Jakaya kulikuwa na hamasa!
Jamani nyie madalali wa raslimali tuachieni nchi yetu tuwasapoti wapiganaji wetu!! Samia must GOO
 
Tunaelewa kilichowapeleka DRC ni amani kutekeleza amri ya umoja wenu usio na meno wa SADC na UN kwa sababu mnapokea misaada yao halafu mnarudi kwa sanduku, Amani ndio jambo liloshindikana DRC sasa M23 wanachukua nchi kwa mbwe mbwe zote mnakodolea macho tu
 
Sasa kama Rais anawaambia wanajeshi tena mbele ya vyombo vya habari wajiandae kulinda uchaguzi wakati wananchi wanajua CCM inaiba uchaguzi unategemea wananchi wawe na hamasa na jeshi lao?
 
Tuoneshe umakini wetu sasa kwa kulipiza kuuuliwa kwa askari wetu na kujeruhiwa hao wengine 25.
 
TZ peke yake haikuwa na uwezo kupigana na Iddi amini sema kweli mulipata msaada toka nje ya nchi na uungaji mkono mkubwa wa silaha lengo ni choko choko za julius nyerere kumuondoa kiongozi wa kiislam Iddi amini Uganda na Africa mashariki. leo mnajidai na kujimwagia sifa ilihali ukweli unajulikana
 
Mbona nyie Rwanda mnatoa msaada kwa M23 kwa kushirikiana na Uganda?
 
Zina gharama gani? Walikwenda na vifaru vya mizinga au ni Bunduki peke yake?
Tambua tu hili:
Mafunzo yao wamepata US,hata mtoto wa namba moja alienda fundishwa huko juzi kati,kuna msemo mmoja ulitolewa na mzee Mandela”ukiona majirani wanapigana jua moja ya nchi ametembelewa na US”. Congo madini yake ni adimu duniani sawa na Ukraine ndio maana vita zao kl mtu anamgombea.
NB
Somalia…Madini,mafuta and gas
Sudan :: mafuta,gas and madini
Congo ..madini
Mashariki ya kati….gas,Madini and mafuta
Venezuela….mafuta and gas
Ukiona ppt kuna vita ujue kuna utajiri and mabeberu wanayataka hayo hivyo mnavurugwa
 
Mleta mada ni mpumbavu mmoja asiyejua taratibu zozote za kijeshi na diplomasia,Tanzania haikwenda kupigana Congo,hao M23 unaowahofia wanatambua vzur sana jambo litakalowapata wakiigusa Tz,huyo Kagame sio tahira hivyo,anaangalia na sehem za kugusa
 
SIJUI WEWE NI LISHOGA LAKIGANDA KWAHIYO KWA AKILI YAKO RWANDA basi tu
 
Tuoneshe umakini wetu sasa kwa kulipiza kuuuliwa kwa askari wetu na kujeruhiwa hao wengine 25.
Umakini unaonekana mara kadhaa ilikuwa mpaka Sasa tungekuwa tumepigana na Malawi , Rwanda 2015 ila tulishinda kwa propaganda na kisheria.
Hivi Sasa tupo kuangalia kwa ukaribu na makini mpaka wa Msumbiji dhidi ya Hawa watu wanaoungwa mkono na ISIS vile vile mipaka yetu upande wa Congo DRC.
VITA INAMADHIRA MENGI huwezi ingia Vita na sababu ulizosema ebutafakari crisis ya Israel na Iran Nini manufaa waliopata au Tanzania ikipigana nao inapata Nini in return?
Bado hawajatushawishi kupigana nao waje na sababu nzito Kisha utaelewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…