Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Vita ya uganda mulipata msaada toka mataifa ya nje likisaidiana na jeshi la zanzibar taja vita vingine
Wewe ndugu unaropoka usiyoyajua kuhusu vita ya Uganda na dini yako ya kibaguzi. Nilishuhudia Watanganyika wanaacha shule kwa hiari kuipigania nchi yao Tanganyika. Unakaririshwa story vijiweni sisi tulikuwepo. Libya alimsaidia Amini na askari na vifaa,, Walibya wakatekwa wakaletwa Dar, unalijua hilo. Amin aliuwa maaskofu wa kikristo Uganda unalijua hilo. Kama ni udini na chuki hapa sio mahala pake. Nyerere aliwanyang'anya wamisionary mamia ya shule kabla ya 1970 ili Watanganyika wote na babu yako wasome bure bila kulipia hata cent moja. Mkapa aliinyang'anya Tanesco chuo cha maafisa akawapa waislam leo kinaitwa MUM unalijua hilo. Rais muislam yupi duniani, acha hapa Tanzania angeweza kuwapora waislam Taasisi zao eti wakristo wafaidi. Acha ujuha mkuu. Kunyamaza kwa WAKRISTO sio hawajui mnavyowachukia. Na hamna shukrani. Walalamishi. Wakati wa vita Zanzibar ilikuwa na trained askari kiasi gani in population kuikomboa Kagera iliyokuwa imeporwa na Amin. Unajua daraja la Kagera lililokuwa limevunjwa na Amin lilijengwa na nani ili kupitisha vifaa kuvuka kuingia Kagera. Kuficha ujinga Bora unyamaze tu.
 
Hakuna vita ambayo haina support. Cha muhimu ushawishi wako wa kupata support. Hata USA huombaga support ya Washirika wake na Five Eyes au AngloSuxons.
Sasa kama mulibebwa kwanini saa zote hapa kelele
 
Umerudi tena! swali letu hujajibu
'' Bayamulenge' wamenyimwa haki gani DRC kiasi cha kubeba silaha na kuua Raia!
Hauko serious wewe, na wanaouwa raia ni warundi wenzako na askari wa kabasele Tshesekedi Kimoko, kipigo mnakipata sawasawa naona, wakabila mmeharibu sana amani halafu mnajifanya victims
 
Mwenzako kakiri mulipata msaada kutoka mataifa ya nje silaha na jeshi sasa muache kelele hapa, Tanganyika haijawahi kupigana vita ata mapinduzi hawayajui, zanzibar ndio ilipindua
 
Mwenzako kakiri mulipata msaada kutoka mataifa ya nje silaha na jeshi sasa muache kelele hapa, Tanganyika haijawahi kupigana vita ata mapinduzi hawayajui, zanzibar ndio ilipindua
Ukilewa na kukolea udini, huwezi kujua lolote zaidi ya itikadi na mihemko na kupotosha historia . Zanzibar ilikuwa na wanajeshi wangapi mwaka 1978 kuipigania Tanganyika. Vifo na majeruhi Watanganyika waliofia vitani Uganda unawajuwa ? Ubaya nabishana na mdini tu. Hujajibu kuhusu, Libya kuisaidia Uganda, na Amini kuwauwa maaskofu wa Uganda mmojawapo aliitwa Luwum. Unafurahiaje askari wetu wanaokufa DRC ??? Wewe ni mhazini, mdini siasa Kali na hufai.
 
Wewe ni mhaini
 
Mwenzako kakiri mulipata msaada kutoka mataifa ya nje silaha na jeshi sasa muache kelele hapa, Tanganyika haijawahi kupigana vita ata mapinduzi hawayajui, zanzibar ndio ilipindua
Wewe ni mhaini, mdini, mpotoshaji na hufai
 
Vita ya uganda mulipata msaada toka mataifa ya nje likisaidiana na jeshi la zanzibar taja vita vingine

..Msumbiji peke yake ndio walitoa msaada wa kijeshi [ kikosi ]ktk vita vya Uganda.

..walikuwa wanarudisha fadhila kwani na sisi tulikuwa tumewasaidia kujikomboa.

..askari toka Zanzibar ni sehemu ya jeshi la Tanzania.

..wakati tunapigana Uganda, Tanzania tulipeleka askari na kulinda visiwa vya Shelisheli na kufundisha jeshi la nchi hiyo.

..Uganda walisaidiwa na Libya na Wapalestina lakini tuliwashinda.
 
Imekuwaje wanajeshi wetu wakauwawa na kujeruhiwa kama hatujashambuliwa?
Yaani comment fupi tu bado umeshindwa kuielewa wakati nimesema:-
Na kaa ukifahamu Vikosi vya Kulinda Amani haviendi kule kupigana bali kulinda amani! Wataweza kupigana endapo wao ndo wataanza kushambuliwa au kuna tishio la wazi dhidi ya raia!
Sasa kwa uelewa wako hapo nimesema hawajashambuliwa au nimeeleza mazingira ambayo yanaweza kuwafanya waingie kwenye mapigano?!
Kama sheria zimekuwa revoked imekuwaje tupo kimya hadi saivi?
Nimesema sheria zimekuwa revoked, au nimesema
ni hadi moja ya sheria au kanuni za ulindaji amani ziwe revoked! Sasa mara CCM, mara Sani Abacha! Kimsingi wewe ndo unaleta siasa kwa kutoelewa kwako!
And take it from me, it's a matter of time kabla ya hiyo sheria haijawa revoked!
 

Tia pua yako na jeshi lenu Kagera hapo si pua na mdomo tu alafu uone mziki wa JWTZ. Siyo unaharisha tu hapa jukwaani. Ziwa nyasa lipo tanzania na malawa. Na kama ujui lipo mpaka blantaya upande wa Malawi. Mombasa ni Kenya angalia hata ramani tu. Njooni nyinyi mnaosema Kagera siyo Tanzania tuwanyooshe.
 
Achana na mtusi huyo. Akili yake fupi sana. Wanadanyana tu hakuna kitu anajua kuhusu Tanzania.
 
Guys,

Kwanza, majeshi yanayohusika ni ya SADC, chini ya command ya SANDF (South African National Defence Forces). Hii operation ni kuwaondoa wanajeshi hao kutoka DRC kwenda nchini kwao, na hii ni awamu ya pili, awamu ya mwanzo ilikuwa miili 10+ ya askari wa SANDF waliopitia Rwanda, then Uganda mpaka Airport ya Entebe.

Pia kulikuwa na evacuation ya wale wanajeshi wa kukodi wa Romania (Mercenaries) 200+ waliopita kwenda Kigali na kuchukua international flights kwenda makwao.

Hili eneo la Goma, Sake na ule mji mwingine jirani, yametekwa na M23, na wakati wa mapigano SAMIDRC walipandisha bendera nyeupe ya kusalimu amri. Baada ya hapo wakitaka kitu au mawasiliano, ilitengenezwa namna ya kuwasiliana kati yao na M23 ili wapate supplies au mambo mengine (mahitaji) wakiwa kwenye barracks zao.

Rwanda imetoa ushirikiano wa kutosha kuondosha/repatriation ya watu (UN workers kama 2000), wale waRomania (220+), SANDF, na wengineo waliotaka kupita au kutafuta hifadhi nchini Rwanda. Mkuu umepost utafikiri kuna ugomvi mpakani kati ya Tanzania labda na Rwanda. SI KWELI NA WENGI WAMEPITA BILA TABU YOYOTE labda kama taratibu tu za hapa na pale kuhusu paperwork.
 
wewe pia ni mhaini wa nafsi yako, unadanganywa na kasumba za julius mchonga meno nakumuona kama baba yako mzazi
Sidanganywi na Mwl Nyerere, nimeishi na nimenufaika na uongozi wake imara, nimesomea, nimetibiwa bure. Wewe jaza moyo wako na chuki za kidini. Lakini shukuruni aliwanyang'anya WAKRISTO shule hata babu yako akasoma. Ingekuwa wewe mdini umeshika madaraka ungewaza kuwauwa makafiri tu.
 
Wewe kama amekusomesha na kukupa matibabu bure endelea kusherehekea lakini kule zanzibar wanalia kwa hila na fintna za nyerere hadi leo wamekosa uhuru wa nchi yao ambayo walipindua mwaka 1964. Zanzibar sasa sio nchi tena rais wao anachaguliwa ni vikao vya dodoma vilivyosheheni watanganyika badala ya wazanzibari wenyewe.
 
Zanzibar siyo Tanzania?. Tafuta ujue kwanini inaitwa Tanzania unabinua pua tu hapa jukwaani.
Namaanisha Tanganyika walikuwa na jeshi lege lege kwenda kupambana na Iddi Amin, ilibidi mukodi jeshi kutoka Zanzibar, mchongameno akawapa zawadi ya Ahsante tu baada ya ushindi
 
Namaanisha Tanganyika walikuwa na jeshi lege lege kwenda kupambana na Iddi Amin, ilibidi mukodi jeshi kutoka Zanzibar, mchongameno akawapa zawadi ya Ahsante tu baada ya ushindi
Una kichaa wewe siyo bure. Tanganyika na Zanzibar zimeungana 1964. Ikaanza kuitwa Tanzania. Vita na Uganda 1979 utasemaje wamekodisha jeshi kutoka Zanzibar?. Hakuna kitu unajua kuhusu Tanzania unaropoka tu. Ushasema Kagera siyo ya Tanzania vamieni Kama mlivyovamia goma muone tutakavyowanyonyoa
 
Tatizo lako kumbe ni siasa za chuki. Zanzibar hata ikijitenga leo, hakuna anayeumia zaidi ya Watanganyika kufurahi. Mmejazana Tanganyika , halafu mnatukana mnakopatia riziki. Mtanganyika anafaidika nini anapoenda Zanzibar tofauti na kubaguliwa. Hawezi kugombea, hawezi kuajiriwa, hawezi kununua ardhi sasa Muungano wa kazi gani. Ninyi mnalazimisha mpaka ajira zisizo za Muungano mnajazwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…