Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Huyu mwehu tu, anaropoka hovyo. Anasumbuliwa na chuki za kidini.
 
Hii maziwa makuu kuna watu wanaichezea wanavyotaka miaka nenda miaka Rudi na hakuna wanachofanywa.
 
Hauko serious wewe, na wanaouwa raia ni warundi wenzako na askari wa kabasele Tshesekedi Kimoko, kipigo mnakipata sawasawa naona, wakabila mmeharibu sana amani halafu mnajifanya vict
Watanzania tunasemea hivi '' Hupo serious'' hatuweki wewe kwasababu tayari umeshasema 'hupo'
Kiswahili cha Tanzania hatusemi '' wanaouwa' tunasema wanaoua.
JF majirani wa Burundi , Rwanda , Banyamulenge, wapo wengi tena na ID tofauti

Swali la Msingi ni hili, Banyamulenge wanakosa haki gani DRC kama Raia kiasi cha kubeba silaha na kuuan Wananchi wenzao.
 
Mkuu huyo ni mweupe kichwani Sasa anasema vita ya Uganda tuliomba msaada kwa jeshi la Zanzibar yaani hajui lolote
 
Zanzibar haina jeshi. Wale kmkm siyo jeshi
Wewe umezaliwa juzi, Zanzibar ilikuwa na jeshi lake na ndilo waliofanya mapinduzi ya 64, Zanzibar walikuwa na kiti umoja wa Mataifa, Zanzibar walikuwa fedha zao, passport na mpaka mabalozi, na Zanzibar ndio waliotoa fedha nyingi zaidi kuliko Tanganyika kuanzisha hiyo Benki Kuu yenu huko Tz bara, hiyo BOT ni ya ushirika lakini Tanganyika walipora haki ya Zanzibar. wewe upo upo tu hujui chochote
 
Zanzibar ilipounga na Tanganyika haikuwa hivi ilivyo leo, kila nchi ilikuwa huru nyerere akaleta shida na nia yake mbaya kwa zanzibar, Zanzibar ndio ilitoa wanajeshi wengi uganda ww unaropoka tu
 
Jibu swali, je Zanzibar ilikuwa na jeshi mwaka 78 wakati wa vita vya Kagera?
 
Huzi ni hadithi zaidi kuliko uhalisia. Eti Zanzibar iwe na fedha nyingi kuliko Tanganyika. Nini kinaiuzuia leo kuwa na hizo fedha? Mnadai kila kitu ni chenu. Mpaka BOT ni yenu. Ardhi ya Tanganyika ni yenu. Uko sawa kweli mkuu ?
 
Tanganyika haijaweza kusimama kwa miguu yake bila ya zanzibar, ndio mana mnangangania
 
Zanzibar ilipounga na Tanganyika haikuwa hivi ilivyo leo, kila nchi ilikuwa huru nyerere akaleta shida na nia yake mbaya kwa zanzibar, Zanzibar ndio ilitoa wanajeshi wengi uganda ww unaropoka tu
Utchekwa kwa uzuzu wako. Hauna kitu unajua kuhusu Tanzania Ila waambie watusi wezako watie mguu Kagera si umesema Kagera siyo Tanzania vamieni mchukie Kama mlivyoganya goma. Alafu muone mziki wa TPDF
 
Tanganyika haijaweza kusimama kwa miguu yake bila ya zanzibar, ndio mana mnangangania

..wanaowakwamisha Wazanzibar wasipate nchi yao ni Wazanzibari walioko katika serikali ya muungano.

..Samia Suluhu ndiye alfa na omega wa kila jambo hapa Tanzania. Majeshi, Bunge, Mahakama, anaweza kufanya anavyotaka.

..jiulize Samia Suluhu amefanya nini kuhakikisha Wazanzibari mnapata mamlaka mnayoyadai? Samia Suluhu anashindwa nini kumuamuru Waziri wa Fedha wa muungano awarudishie fedha mnazodai mlii biwa? Pia kwanini Samia Suluhu na Mahmoud Kombo hawarudishi kitu cha Zanzibar cha UN?

..La mwisho, Je, askari toka Tanganyika hawatatumwa kudhibiti uchaguzi wa Zanzibar wa 2025?
 
Tanganyika haijaweza kusimama kwa miguu yake bila ya zanzibar, ndio mana mnangangania
Hayo ni matusi kwa Tanganyika. Umeme mnapewa bure. Nafaka zote Tanganyika, Mifugo ya nyama Tanganyika. Ardhi yetu mmeipora. Tanesco wakizima tu umeme wewe hicho kiswaswadu chako kinazima.
 
Tanganyika haijaweza kusimama kwa miguu yake bila ya zanzibar, ndio mana mnangangania
Wa unguja wana kiswahili maridhawa . Lakini lahaja yako yatanabaisha kuwa wewe sio mwanetu hivyo upo kwenye kampeni ya kuleta tashwishwi na kumwaga upupu kwenye hadhira kubwa ya watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…