Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #381
Ukipeleka kikosi kidogo ndo udhalilishwe hivo?Bado sana kumpa hiyo nafasi.
Jeshi letu lilienda kwa mgongo wa UN, Monusco na SADC.
Wajuvi mnajua wazi ukienda kwa mwavuli tajwa hapo juu ni sawa na umefungwa mkono mmoja.
Hauko kwenye mapigano ya moja kwa moja zaidi ya kujihami mnaposhambuliwa.
Pili.
Tulipeleka kikosi kidogo tu hivyo naona wengi tunachangia kimhemko