Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Bado sana kumpa hiyo nafasi.
Jeshi letu lilienda kwa mgongo wa UN, Monusco na SADC.
Wajuvi mnajua wazi ukienda kwa mwavuli tajwa hapo juu ni sawa na umefungwa mkono mmoja.

Hauko kwenye mapigano ya moja kwa moja zaidi ya kujihami mnaposhambuliwa.

Pili.
Tulipeleka kikosi kidogo tu hivyo naona wengi tunachangia kimhemko
Ukipeleka kikosi kidogo ndo udhalilishwe hivo?
 
Wakiwa mtaani sasa, kwa wananchi weeee watabe kinoma.
Now they met...
 
jeshi letu la Tanzania ni makini sana hakuna haja ya kumwaga damu za vijana wetu kisa nchi ya watu wajinga walioshindwa kulinda mipaka yao
ni nini kiliwapeleka huko kama haya unayosema wanayajua
 
Mkuu huo ni ukaguzi wa kawaida, hata sisi tusingeruhusu wengine wapite bila kuwakagua

Kwanza kwa nini Masoldier wetu wapite Rwanda wakati tunajua Rwanda ni hostile ktk huu mzozo?

Vijana wetu kibao wameuawa huko Congo kwa sababu ya Rwanda
 
Jeshi la Tanzania liko mpakani mwa Rwanda na DRC Rubavu Boarder post , wakikaguliwa na polisi wa kawaida wa Rwanda. Hii ilitokea baada ya M23 kuteka jiji lote la Goma, na wakaacha silaha zao zote mikononi mwa M23.
Hayo mabegi makubwa yamejaa nini?wamebeba nini humo?
 
Ni kama mwanajeshi wetu hakupenda kukaguliwa na hao jamaa ukimuangalia mwanajeshi wetu alikuwa very serious na alikuwa anaheshimu tu mamlaka ya nchi za watu ila ukiangalia wanaomkagua ni wepesi sana kwa mwanajeshi wetu.
 
Ni kama mwanajeshi wetu hakupenda kukaguliwa na hao jamaa ukimuangalia mwanajeshi wetu alikuwa very serious na alikuwa anaheshimu tu mamlaka ya nchi za watu ila ukiangalia wanaomkagua ni wepesi sana kwa mwanajeshi wetu.
Sena hajatokea jeshi akaguliwe na police
 
Sasa hapo wamwdharilishwaje, Wakati wamepewa hifadhi baada ya kuzidiwa Mabambano?

Mlitaka wanajeshi wa TZ waingie na bunduki zao Rwanda? Hilo halipo duniani kote
Watu wanajadili vitu ambavyo hawavijui ni shida kubwa sana
 
Mama Samia kalidhslilisha jeshi la wananchi wa Tanzania.Yaani TPDF inanyanyasika kiasi hicho sbb ya M23?

Mafisadi na Majizi ndiyo yanayoshirikiana na serikali ya Kinshasa na Mabeberu chini ya UN kulipa wanajeshi toka nchi maskini ili kulinda rasilimali zao huku vita ikiendelea miaka mingi sasa .

Jeshi la Tanzania halina mamlaka ya kuingilia migogoro ya ndani ya nchi nyingine .

Vita ya Kongo ni halali kwa Ananchi waliochoka rawala za kifisadi za kiraia . Wanataka utawala wa kijeshi ili uweze kuinyoosha nchi na kusambaratisha Waasi wanaotengenezwa na watawala kwa lengo la kujinufaisha kisiasa
 
Walikwenda kulinda amani tu , kwa maelekezo na taratibu za muajiri wao wa muda UN sio kwenda kupigana na Kagame au M23
Walienda kupambgana mkuu, na siraha nyingi zao zimetekwa na M23, hangalia hio video sio kwamba wamenda kwajiri ya UN, kwani UN Saiv ipo goma,
 
Back
Top Bottom