Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Uko sahihi.....Nchi huwa zinatengeneza Waasi fake kwa Maslahi ya Watawala na wanaowalinda.
 
Jeshi la Tanzania liko mpakani mwa Rwanda na DRC Rubavu Boarder post , wakikaguliwa na polisi wa kawaida wa Rwanda. Hii ilitokea baada ya M23 kuteka jiji lote la Goma, na wakaacha silaha zao zote mikononi mwa M23.
Wewe Mtutsi acha kuongeza chumvi mbona hapo anayekaguliwa ni mwanajeshi mmoja tu lakini taarifa yako unaonyesha ni Jeshi la Tanzania nilitegemea nione wanajeshi wa JWTZ wengi wakikaguliwa hapo kama mateka kama unavyojieleza hapo juu. Huyo ni Mwanajeshi mmoja tu aliyekuwa kwenye safari yake ya kurudi TZ acha uongo na mlimchukua video kwa ujanja ujanja ili mje mlete propaganda zenu kwenye mitandao ya kijamii.
 
Walienda kupambgana mkuu, na siraha nyingi zao zimetekwa na M23, hangalia hio video sio kwamba wamenda kwajiri ya UN, kwani UN Saiv ipo goma,
View attachment 3255680
Kwahiyo unategemea hao SADC wenye wanajeshi 1300 ( mpaka kufika january 2025) kuwamaliza M23 ( idadi yake sijui) na Jeshi la Rwanda ambalo lipo drc kwasasa(3000-4000)? Hawq walienda kusimamia amani ndio maana ni wachache , hivyo vifaa ni kujibu mapigo pindi wakishambuliwa (self defense)
 
Shida sio ukubwa wa jeshi, tatizo ni Ubora kwa hio Wote 5000, wa Tanzania, 10,000 wa Southa africa, 10,000 wa burundi hao M23 wapo wangapi? 😂😂😂😂
 
Uandishi wako inaonyesha wewe ni mtutsi uliyefurahia vifo vyote kuanzia askari wetu, wacongo na udhalilishaji huo.
 
Shida sio ukubwa wa jeshi, tatizo ni Ubora kwa hio Wote 5000, wa Tanzania, 10,000 wa Southa africa, 10,000 wa burundi hao M23 wapo wangapi? 😂😂😂😂
Umeelewa nilicho andika? Malawi, Tanzania na South Africa hawa ndio walikubali kupeleka wanajeshi wao , jumla ya wanajeshi waliotakiwa kwenda ni 5000 tu, ila mpaka kufika january walikwenda 1300 sasa unawezaje kuzuia M23 na jeshi la Rwanda? hao Burundi wanashida kibao sio sehemu ya kikosi cha Sadc kule DRC
 
Wanashinda kwa idadi ya wanajeshi au vifaa na mbinu?
 
Ukiwakuta wanapiga raia wasio na silaha unaweza kuamini ni imara sana, kumbe?!
Hii nchi iko salama kwasababu yao , kama kuna kikundi kinaweza kije kipige sehemu yeyote ya Tanzania halafu watapata majibu yao
 
Ni kama mwanajeshi wetu hakupenda kukaguliwa na hao jamaa ukimuangalia mwanajeshi wetu alikuwa very serious na alikuwa anaheshimu tu mamlaka ya nchi za watu ila ukiangalia wanaomkagua ni wepesi sana kwa mwanajeshi wetu.
Sifa za kijinga hizi. Yuko serious wakati hana uwezo.
 
Hamna kitu.
Nchi yetu iko salama kabisa hakuna waasi wala takataka zao , hii ni kazi kubwa ya jeshi letu , kama unafikiri utulivu huu ni wa kulala na kuamka nenda kaishi Goma utaelewa hii nchi ni salama kabisaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…