Zina gharama gani? Walikwenda na vifaru vya mizinga au ni Bunduki peke yake?Hawa waasi wanatubipu.
Wamewarejesha wanajeshi wetu wa JWTZ nyumbani kupitia Rwanda bila silaha.
Walipoulizwa kwanini wanawafanyia hivyo, wakajibu Sila zote walizokuwa wanatumia Goma ni za Umoja wa Mataifa sio za Tanzania.
Cha ajabu wao hutumia silaha hizo kuteka maeneo mashariki mwa Congo.
Je wanajeshi wetu hawakubeba hata silaha zetu chache wakati wakitoka huku kwenda Congo?
Source: BBC Swahili news.
Vita hivyo mnavyoendesha congo kwa waliosalitiana unajisifia navyo? Na una sema tunabeba mbwa?. Waambie hao wanaume zenu watie mguu Tanzania Kama alivyofanya iddi amini dada. Alafu uone Kama wanabeba mbwa au kimbau mbau ajatafute pa kwenda uamishoni. Ushoga wenu pelekeni uko uko kwa wasiliti wa kikongo siyo Tanzania. Mtakuja kuvaa magaoni mjifanye wanawake msiguswe. Lopoka tunyi si munabeba mbwa sana huko kwenye sherehe zenu, vita vina wenyewe
Tatizo siyo matusi na kejeli unazotufanyia .Kanchi kadogo ka Rwanda kanazichezesha singeli Nchi zote za Maziwa Makuu na ukanda wa SADC aibu kubwa hii.
Mkuu hakuna Cha dharau. Waleta mada wanajifurahisha tuHivi CDF wa sasa ni kabila gani,, mbona hizi dharau zinataka kuzidi,,
Hili swali nilitaka nimuulize mleta mada lakini umeniwahiKwani SADC wanaenda kulinda Amani au kupigana vita na M23?
Usipende sana vita, hizi ni zama za amani. Jeshi letu lipo imara. Kaa kwa kutulia.Mods kichwa kisomeke "Tanzania Pride". Kuna typo.
Lipo imara wakati tumeuliwa wanajeshi wetu na 25 kujeruhiwa?Usipende sana vita, hizi ni zama za amani. Jeshi letu lipo imara. Kaa kwa kutulia.
tumeyataka wenyewe kwa kuona jeshi ni sehemu ya kichakaa cha watoto wa wakubwa kuwa huko na kuajiriwa kwa upendeleoKanchi kadogo ka Rwanda kanazichezesha singeli Nchi zote za Maziwa Makuu na ukanda wa SADC aibu kubwa hii.