Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Duh! Hii hatari
 
Leta jeshi bongo ndiyo utajua. Alafu ulivyokua hauna akili unaleta udini kwa idi amini kwahiyo alivyingia Kagera ulitaka akenuliwe meno.legeza pua tu kusema kuwa aliondolewa na Zanzibar. mme wenu anajua awezi tia mguu Tanzania mpaka anaenda kaburini
 
Natamani irudi miaka ile kanda ya ziwa tulipomuambia Idd Amin dada, toka,,, akatorokea mpakani mbarara. Leo tunachezewa na wapumbavu wanyarwanda wasiotahiriwa, Mura Mura, Mura.
Mkuu hata kule congo kilichotokea ni ule usaliti ndani ya jeshi la congo kuyauza majeshi ya kigeni lakini hao m23 na hiyo rwanda yao ni utumbo tu wa kuku tu awawezi kuingiza mguu kwenye nchi yetu hata kwa bahati mbaya
 
Warudi waje wavunje matofali kwa kichwa pale uwanja wa Uhuru.
Acha dharau Kama huyo bwana wenu rwanda mnaemwamini hawezi kutia mguu Tanzania. Majeshi yote ya kigeni congo walikua watunza amani tu na Sheria ilikua inawazuia kushambulia. Ukichanganya na usaliti wa wacongo na Upumbavu wao.ndiyo kilichowapa nguvu m23
 
Tanzania hatuna jeshi , na ccmu wamjisahau sana , wanakula kodi zetu vby hawajengi jeshi , endelea kuleta ushabiki wa kitoto , siku wakitua Tz ndo utaelewa
Watume hata Leo watue. Ndiyo utajua ninachokwambia.sikia hata kwa bahati mbaya kagame hawezi kuleta jeshi katika ardhi hii. Hata bichwa mnalompa hawezi kusogeza pua yake. Na inaonekana hakuna kitu chochote unachojua kuhusu jeshi letu zaidi ya ushabiki wako wa kutokujua. Anza kulifatilia ili utakuja kuelewa baadaye sana
 
Jibu swali jepesi tz ilikua na askari wangapi congo. Unakaa unasifia m23 na rwanda yako utafikili ulikua unapigana na Tanzania. Alafu Tanzania haijapeleka siraha congo unakuja kubinua midomo. Na kilichotokea ni ule usaliti wa wakongo ndiyo kilichowapa nguvu m23
 
Umeshasema Kikosi cha SADC, sasa hilo suala la jeshi letu linatoka wapi?! Askari ni WETU lakini protokali sio za kwetu! Vikosi vya Kulinda Amani vinafuata protokali za Majeshi ya Kulinda Amani sio taifa husika! Ni kama Taifa Stars, yaani akina Kibu Denis wakose ndege ya kurudi TZ baada ya mechi ya Taifa Stars na Nchi X ughaibuni halafu useme hiyo ni aibu kwa Klabu ya Simba?! Na kaa ukifahamu Vikosi vya Kulinda Amani haviendi kule kupigana bali kulinda amani! Wataweza kupigana endapo wao ndo wataanza kushambuliwa au kuna tishio la wazi dhidi ya raia! Hao hata wakiona M23 wanapita watawaangalia tu unless waanze kushambuliwa wao! Ukiona Jeshi la Kulinda Amani linapigana vita basi ni hadi moja ya sheria au kanuni za ulindaji amani ziwe revoked! Sasa mara CCM, mara Sani Abacha! Kimsingi wewe ndo unaleta siasa kwa kutoelewa kwako!
 
Hawezi kukujibu huyo kwa sababu kaleta mada kuhusu jambo ambalo hana hata uelewa nalo!
 
zi
Huwezi kuwa na jeshi imara chini ya amrijeshi mkuu dhaifu
 
Mw
 
Imekuwaje wanajeshi wetu wakauwawa na kujeruhiwa kama hatujashambuliwa? Kama sheria zimekuwa revoked imekuwaje tupo kimya hadi saivi?
 
Wapi nimesifia M23?
 
Hivi nikuulize kitu. M23 alikua anapigana na Tanzania?. Na wanjeshi wa Tanzania walianda kwa ajili ya kulinda amani. Au uliona walioeleka vifaa vya jeshi congo?.
Kama alikuwa hapigani na Tanzania how comes wameuwa wanajeshi wetu? Imekuwaje wanajeshi wetu waliojeruhiwa wamechelewa kurudishwa nyumbani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…