Mwisho wa Tanzania Pride: JWTZ wadhalilishwa kusubirishwa mpakani huko Rwanda

Hao yuvisisiemu acha warejee tu.
 
Kwa nini waache vitendea kazi vyao km siyo upuuzi?
Wana ajiri watu kwa kuwa tu wanamiliki kadi za chama badala ya ufanisi,acha wavune walicho panda.
 
Sawa wanyarwanda mpo vizuri
 
Kiukweli hayo ya CONGO siwajui sana ila humu munawasifia mno JWTZ ila kwa nilichokakiona kitaya kilikuja kubadili mtazamo wangu na ukiangalia wale wahuni hawakuwa wengi....ila wanajeshi kama 7 walikufa palepale na magari yao yakachomwa moto ila wale wahuni hata mmoja aliekufa na kwa dharau wakateka watu wakaondoka nao safi kabisa...baadae JWTZ wakakaa mpakani ikawa kazi yao ni kupiga raia tu ila chakushangaza wale wahuni walikuwa wanavuka tu ile border vizuri tu,,,sisi watanzania ni watu wa propaganda sana
 
Mkuu, "Pride" ya JWTZ ni kumpiga Nduli Iddi Amin Dada na kumtoa katika ardhi ya Tanzania na kisha kumfuata hukohuko Kampala na kuuangusha utawala wake na kisha kuhakikisha Milton Obote anakuwa raisi wa Uganda.

Ndo maana kaulimbiu yao waliporudi nyumbani na kupokelewa na wananchi ilikuwa "Kazi tulotumwa kuifanya tumeimaliza". Sasa hivi hakuna "justification" yoyote kwa JWTZ kuwepo Congo DRC kwa miaka 30!

Ni kanali Mahfudhi na makomando wenzake waliongia Kampala kumsaka Iddi Amini ambae ilibidi akimbilie uhamishoni na kuwaacha JWTZ wakiilinda Uganda hadi vita ilipokwisha.

Ni "Pride" hiyohiyo ilowafanya JWTZ kuyapiga majeshi ya Uganda, ya Libya na yale ya PLO pale Lukaya na kuyavunja nguvu kabisa.

Vita ya Uganda Tanzania ilichokozwa na Iddi Amini na akashikishwa adabu.

Baada ya hapo JWTZ haina "pride" ingine yoyote isipokuwa tu kuchangia idadi ya wanajeshi kwenda katika "mission" tofauti zenye migogoro na Congo DRC ni mojawapo.

Kwa kuwa M23 wameamua kujitwalia majukumu ya kuidhibiti Congo DRC ni budi SADC na UN waondoe majeshi yao pale kwani kwa miaka 30 hawakuweza kusaidia chochote pale zaidi ya kuongezeka kwa waasi na migogoro kwenye eneo hilo.

Kwenye hili la kushiriki kulinda amani hakuna "Pride" yoyote kwa JWTZ na ni bora wakawekezea zaidi kwenye kulinda mipaka ya Tanzania kwa gharama yoyote ile ikiwemo kununua vifaa vya kisasa kutoka kwa nchi rafiki kama China na Russia.
 
Hujui tulichofanya Comoro ? Hujui tulichofanya Shelisheli? Hujui tulichofanya hapo Congo tu mwaka 2012?

Au historia ilikupita kando?
 
Sijasema uongo wowote. Wanasiasa na wakubwa jeshini wanaona aibu kwa jinsi Kagame na M23 walichowafanyia wapiganaji wetu.
We are doomed.....Hebu pita Leo LUGALO Barracks uone jinsi kambi zilivyogeuzwa mabaaa na Ma-Frem ya Biashara....

Kambi zinajilikana kwa Usafi na kupangwa na kupangika...ila Leo hii makambi yote ni mabaa....Askari wanawaza pombe na ngono...
 
We are doomed.....Hebu pita Leo LUGALO Barracks uone jinsi kambi zilivyogeuzwa mabaaa na Ma-Frem ya Biashara....

Kambi zinajilikana kwa Usafi na kupangwa na kupangika...ila Leo hii makambi yote ni mabaa....Askari wanawaza pombe na ngono...
Bora hata wangejenga shopping mall na wakapangisha biashara mbalimbali ikiwemo mabenki ningeelewa.


Eti wanajenga Fremu za biashara? Hadi unajiuliza hivi hakuna watu wanaowaza kisasa kwenye Jeshi letu? How comes wanakuwa na watu wenye low thinking kiasi hiki?
 
Endeleen kujifariji ila Hamna uwezo huo na bibi yenu wa kizimkazi
 
Tembelea makambi uone Leo hii ..Kambi iliyokuwa nzuri kama LUGALO Leo hii ni uchafu mtupi....Kambi haileweki, kama ni Magulio ya biashara au nisehemu wanajeshi wanafunzwa medani za vita..

Shame
Ningewaelewa kama wangejenga tu Jengo moja la Shopping Mall kwenye lile eneo mfano wa Kibo Complex na wakapangisha maduka makubwa na taasisi za fedha.

Ila kile kilichofanyika pale ni uchafu na nakubaliana na wewe Jeshi letu halipaswi kuwa na fikra za chini namna ile. Linapaswa kuwa na watu wanaowaza mambo makubwa makubwa.
 
Unaongea usichokijua hivi Wewe kwa akili unafikili wake wakua vitani au kulinda usalama?. Ndiyo maana hata majeruhi waliopata majeshi ya kulinda amani yalisababishwa na usaliti wa wacongo kwa kuongwa pesa na m23. Na hata majeshi yalooshtuka walikataa kuchanganyika na jeshi la Kongo baada ya kuona ni watu wasaliti.
 
Kumbe wewe ni chizi la kidini unaleta dini humu. Tanzania aitanunua ndege ya kijeshi ikujukishe wewe kuwa imenunua ndege wewe Kama nani?. Waambie mabwana zako tukiiteka Kongo tukateke Kagera au kigoma alafu uone nini kitatokea. Unaleta Upumbavu wa kidini hapa. Eti kusimika kanisa makanisa Tanzania yameingia toka hata Nyerere hajazaliwa alafu unaongea Kama mtu usiyekua na akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…