Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

Kiherere wa Mbowe tayari huko amepakatwa na Vijana wa kata
 
Reactions: mmh
Shida upinzani wenyewe "nyoronyoro" mno.

Meya wa Jiji,Isaya Mwita katolewa kwa mtindo huuhuu na makamanda wanang'aa sharubu tu with no any reaction zaidi ya threads kwa Melo.

Nchi za watu Meya wa mji mkuu ama Jiji kuu la kibiashara ni mtu mkubwa mwenye influence siyo anatolewa ofisini kama kibaka tu na maisha yanaendelea.
 
Hiyo sura ya Waitara anakunywa bia tunazokunywaga sisi kama safari na balimi jamani?
 
Kwa hiyo CCM wanaandika barua kwa niaba ya Kamati kuu ya Katibu wa CHADEMA wilaya ya Ubungo halafu wanajijibu wenyewe kupitia DED wao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndiyo ujinga wa CCM ya sasa na mbinu nyingi za hovyo zipo chini ya uratibu wa Naibu Rais Daud Bashite chini ya ushauri toka kwa kubwa jinga Le mutuz na cyprian Musiba.
 
Kwa hiyo sasa hivi ccm wanafanya ujambazi wa kupora vyeo vya wapinzani baada ya ccm kukataliwa na wananchi!!
 
Hahaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…