Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

Mwita Waitara: Apigilia msumari umeya Ubungo, asema Boniface Jacob siyo Meya tena

Kiherere wa Mbowe tayari huko amepakatwa na Vijana wa kata
 
  • Thanks
Reactions: mmh
Shida upinzani wenyewe "nyoronyoro" mno.

Meya wa Jiji,Isaya Mwita katolewa kwa mtindo huuhuu na makamanda wanang'aa sharubu tu with no any reaction zaidi ya threads kwa Melo.

Nchi za watu Meya wa mji mkuu ama Jiji kuu la kibiashara ni mtu mkubwa mwenye influence siyo anatolewa ofisini kama kibaka tu na maisha yanaendelea.
 
Hiyo sura ya Waitara anakunywa bia tunazokunywaga sisi kama safari na balimi jamani?
 
Kwa hiyo CCM wanaandika barua kwa niaba ya Kamati kuu ya Katibu wa CHADEMA wilaya ya Ubungo halafu wanajijibu wenyewe kupitia DED wao!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ndiyo ujinga wa CCM ya sasa na mbinu nyingi za hovyo zipo chini ya uratibu wa Naibu Rais Daud Bashite chini ya ushauri toka kwa kubwa jinga Le mutuz na cyprian Musiba.
 
Kwa hiyo sasa hivi ccm wanafanya ujambazi wa kupora vyeo vya wapinzani baada ya ccm kukataliwa na wananchi!!
 


Sent using Jamii Forums mobile app

Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya.

"Nimeiona barua ya Chadema, nimeona barua aliyowajibu Mkurugenzi wa Manispaa, nimesikia saiti ya Mnyika akizungumzia suala hilo, niseme tu kwamba si kazi ya Mkurugenzi kusoma na kuelewa katiba ya Chadema inasemaje, ameshapokea barua ya Chadema na akawajibu kwa maandishi kuridhia maamuzi yao, ameshamaliza kazi yake, wala wasitegemee ataandika batua ya kukanusha, hivyo Jacob si meya tena wa Ubungo.

Kama anaona haikuwa halali aandike barua kwa waziri mwenye dhamana kuomba marejeo, waziri atapitia na kutoa majibu au aende mahakamani," amesema Waitara.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaaaaa
 
Back
Top Bottom