Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Sasa mahakama si ipo mnasubiri nini kwenda?Kazi zingine zipo lakini kuachishwa umeya kishetani kijinga kwa barua za kugushi ni haki? Kuhujumu umeya kisa kuna kazi zingine ni halali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa mahakama si ipo mnasubiri nini kwenda?Kazi zingine zipo lakini kuachishwa umeya kishetani kijinga kwa barua za kugushi ni haki? Kuhujumu umeya kisa kuna kazi zingine ni halali?
Waitara huenda akawa ni waziri wa hovyo katika ukanda huu wa bara la AfricaHizi ni comedy za kuua so ya hotuba mbovu za boss wao.
Turudi kwenye mada achana na kigagura uyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkongwe kumbe sometimes jicho linapita hukuWakati mwingine ni vizuri mtu kujinyamazia.
Amandla....
Konyagi na Bangi ndiyo Ulevi wa waitaraHiyo sura ya Waitara anakunywa bia tunazokunywaga sisi kama safari na balimi jamani?
Huu ndiyo ujinga wa CCM ya sasa na mbinu nyingi za hovyo zipo chini ya uratibu wa Naibu Rais Daud Bashite chini ya ushauri toka kwa kubwa jinga Le mutuz na cyprian Musiba.Kwa hiyo CCM wanaandika barua kwa niaba ya Kamati kuu ya Katibu wa CHADEMA wilaya ya Ubungo halafu wanajijibu wenyewe kupitia DED wao!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ni mtu wa Kyela? Sikujua kabisa, wala hisia...amesema anaweza pia kugombea KYELA ambako ndio kwao. Na amesema jimbo hilo si la wapinzani hivyo analitamani zaidi.
Acha uboya basiWaziri kaongea vizuri sana. Short and clear.
Propaganda za kupotosha mitandaoni waachie wahusika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Mwita Waitara amesema kwa mujibu wa Barua iliyodaiwa kuwa ni ya Chadema iliyoandikwa kwa Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo na kueleza kuwa chama hicho kimemfuta uanachama Boniface Jacob, tayari amepoteza sifa za kuwa Diwani na Meya.
"Nimeiona barua ya Chadema, nimeona barua aliyowajibu Mkurugenzi wa Manispaa, nimesikia saiti ya Mnyika akizungumzia suala hilo, niseme tu kwamba si kazi ya Mkurugenzi kusoma na kuelewa katiba ya Chadema inasemaje, ameshapokea barua ya Chadema na akawajibu kwa maandishi kuridhia maamuzi yao, ameshamaliza kazi yake, wala wasitegemee ataandika batua ya kukanusha, hivyo Jacob si meya tena wa Ubungo.
Kama anaona haikuwa halali aandike barua kwa waziri mwenye dhamana kuomba marejeo, waziri atapitia na kutoa majibu au aende mahakamani," amesema Waitara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye kughushi hawa jamaa wanastahili PhD,wamejiandikia barua na kujijibu halafu wanajitangaza wenyewe.Inaonekana Ni mipango.Waziri anamlinda mkurugenzi aliyefanyia kazi barua ya kufoji