Mwita Waitara athibitisha taarifa za kuumwa, amelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa, hajui ni ugonjwa gani

Sio vile 'vibapa' vilifika kwenye medula o'blangata kweli?
Hahahaha hawajasema kuwa alilewa chakariiiiiiiiii.

Bwasheee Ndugai atupe ripoti...

Misime huko sentro kwa bwana mroto mnasemaje? Zilikuwa ni pombe ama naye alizidiwa kupiga vitu kwa nyumba yake ya pembeni hapa Dom.
 
Huyu kwisha Habari yake baada ya bunge kuvunjwa
 

Kwenye bandiko langu hili

Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
Nilitoa angalizo hili kuhusu kitu kinachoitwa karma
Karma is real.
P
 
Pole sana Mh. Waitara, natumaini afya yako itarejea kuwa njema kwa haraka ili urudi kazi na uendelee kulitumikia taifa lako.
 
Ni COVID tu hiyo. Atuendolee ujinga eti kalazwa lakini hajui anaumwa ugonjwa gani.

 
Kwani ndugu tulio wapoteza kwa corona hawakuwa na haki ya kuishi? Kama anaumwa corona azidi kumuomba mungu na kutubu
 
Nakuunga mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…