LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Astarehe kwa amani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha hawajasema kuwa alilewa chakariiiiiiiiii.Sio vile 'vibapa' vilifika kwenye medula o'blangata kweli?
Huyu kwisha Habari yake baada ya bunge kuvunjwaTaarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona.
Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha.
--- UPDATE---
Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha taarifa zilizokuwa zikizunguka mtandaoni kuwa anaumwa, lakini amekanusha kuwa ni ugonjwa wa COVID-19.
Amesema hayo akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii. Mheshimiwa Waitara amenukuliwa akisema "Naumwa na nimelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma, kusema naumwa nini sijui kwa sababu sijapata taarifa ya wataalam, kwahiyo aliyeandika mnaweza kumhoji anaweza akawaambia aliongea na mamlaka zipi, lakini mimi taarifa za Corona sina."
"Hali yangu haikuwa nzuri sana ila kuanzia jana nimeanza ku-improve, kabla ya hapo nilikuwa siwezi hata kuongea na simu, nipo Hospitali karibia wiki sasa, naumwa tu kawaida kwani tangu nimekuwa Naibu Waziri nimezunguka sana sijawahi kuchukua likizo"
Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona.

Ndugu zangu wanasiasa hama hama, kama ni kuhama, hameni, ila msikose shukrani kwa wale waliowaokota huko walikowaokota, wakawakea, wakawatunza, na kuwahudumia hadi kuwafikisha hapo mlipo hadi wenye macho kuwaona na kuonekana mnathamani, hivyo msiwabeze wale waliowafikisha hapo!.
Hivyo hawa wanasiasa hama hama wote wanaohama vyama kwa kutoa kauli za kukosa shukrani au kubeza, ni hakika karma itawahusu!.
Nawatakia mafanikio mema kwenye vyama vyao vipya!.
Paskali.
Kwenye bandiko langu hili
Angalizo kwa Wanasiasa hamahama; Japo ni haki yenu lakini msisahau fadhila. Kuweni watu wa shukrani, mtabarikiwa sana, vinginevyo karma Itawahusu!
Nilitoa angalizo hili kuhusu kitu kinachoitwa karma
Karma is real.
P
Burundi alipit kiutamu Sana'a.Israili anafeli wapi siku hizi wakati amesharahisishiwa kazi?
Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona.
Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha.
--- UPDATE---
Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha taarifa zilizokuwa zikizunguka mtandaoni kuwa anaumwa, lakini amekanusha kuwa ni ugonjwa wa COVID-19.
Amesema hayo akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii. Mheshimiwa Waitara amenukuliwa akisema "Naumwa na nimelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma, kusema naumwa nini sijui kwa sababu sijapata taarifa ya wataalam, kwahiyo aliyeandika mnaweza kumhoji anaweza akawaambia aliongea na mamlaka zipi, lakini mimi taarifa za Corona sina."
"Hali yangu haikuwa nzuri sana ila kuanzia jana nimeanza ku-improve, kabla ya hapo nilikuwa siwezi hata kuongea na simu, nipo Hospitali karibia wiki sasa, naumwa tu kawaida kwani tangu nimekuwa Naibu Waziri nimezunguka sana sijawahi kuchukua likizo"
Lawama zote kwa IsrailiNi COVID tu hiyo. Atuendolee ujinga eti kalazwa lakini hajui anaumwa ugonjwa gani.
Raha ya milele umpe ee bwana......Kama ni kweli, Tunatakiwa kumuombea apone.
Wanaoshangilia hawana tofauti na vilaza wa MATAGA
Taarifa zimesambaa kupitia mtandao wa Twitter kuwa Waitara amelazwa jijini Dodoma ambapo imedaiwa anaugua maradhi ya Corona.
Wacha tusubiri lakini hii ya kulazwa labda inaweza kuwa ni kweli, ila kuhusu aina ya ugonjwa, muda utathibitisha.
--- UPDATE---
Mheshimiwa Mwita Waitara amethibitisha taarifa zilizokuwa zikizunguka mtandaoni kuwa anaumwa, lakini amekanusha kuwa ni ugonjwa wa COVID-19.
Amesema hayo akihojiwa na East Africa Radio asubuhi hii. Mheshimiwa Waitara amenukuliwa akisema "Naumwa na nimelazwa Hospitali ya Benjamin Mkapa Dodoma, kusema naumwa nini sijui kwa sababu sijapata taarifa ya wataalam, kwahiyo aliyeandika mnaweza kumhoji anaweza akawaambia aliongea na mamlaka zipi, lakini mimi taarifa za Corona sina."
"Hali yangu haikuwa nzuri sana ila kuanzia jana nimeanza ku-improve, kabla ya hapo nilikuwa siwezi hata kuongea na simu, nipo Hospitali karibia wiki sasa, naumwa tu kawaida kwani tangu nimekuwa Naibu Waziri nimezunguka sana sijawahi kuchukua likizo"
Mambo CCM mnayofanyia wenzenu ndio maana mkipatwa na shida watu wanalipuka kwa furaha imagine sarakasi mlizomfanyia Lisu haya kama haitoshi mbunge mwenzenu Mbowe kapatwa na matatizo badala ya kutumia hata busara kidogo kumpa pole.
Maana ndio utu wema aliotuachia Nyerere nyie mnamdhihaki acheni wenzenu wafurahi mkipatwa na shida hata Mimi naona nisawa nawaunga mkono maana nyie CCM ndio mnashangilia shida za wenzenu.