Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

hao walokole mbona hawawatii moto wale wezi wanaowauzia mafuta ya alizeti na mengine ya kukanyaga ili wapate utajiri? hiyo nchi ngumu sana aisee, yaani walokole wanaua na huku wanahubiri kusameheana sijui kitu gani, ndiomaana wananyanduana tu kwenye vijikanisa vyao hivyo na hakuna cha maana wanachofanya
 
Kama maustadhi wanavyowafumua mitaro madrasa, kwa uandishi wako ushafumuliwa kitambo.
 
Lakini mbali na yote yaliyowakuta, Ndugu zetu Walokole, wanastahili pongezi kwa kutoa Dozi ya kipigo, kwa Kibaka huyo ambae alikuwa "akijaribu" kuiba hapo Kanisani.
 
Mkuu mitaa inajua watu zaidi ya sisi hapa.
Nilijifunza tu kwa Panya Road.
Wezi hawatokei angani..wanajulikana na huwa tunawavumilia.
 
Aisee maeneo ya wapi hapo malamba?

Safi sana, Wananchi wa malamba hawalembi ujinga.
 
Mambo ya wezi kuuawa na raia tulishayasau naona yanarudi kwa kasi sana.

Inaonekana raia wamepoteza imani na police na mifumo ya utoaji wa haki
 
Kwahiyo Get rich or die tryin jamaa akachagua Kanisa la Walokoke Walokole wanastahili pongezi kwa kutoa dozi.
Ha ha ha
Hao walokole hawatauona Ufalme wa Mbinguni.
Walitakiwa wamgeuzie shavu jingine huyo mwizi kwa kumsamehe!
 
Haya ndiyo madhara ya polisi kutoshughulikia matishio ya uhalifu.

Utamaduni wa wahalifu kutamba na kujifanyia lolote hukutana na hasira za wananchi waliochoshwa na hizi mbanga.

Mtu anaenda kuiba hadi nyumba ya ibada. Doh hofu imeisha siku hizi
 
Haya ndiyo madhara ya polisi kutoshughulikia matishio ya uhalifu.

Utamaduni wa wahalifu kutamba na kujifanyia lolote hukutana na hasira za wananchi waliochoshwa na hizi mbanga.

Mtu anaenda kuiba hadi nyumba ya ibada. Doh hofu imeisha siku hizi
Polisi wanajisahau na wahalifu wanjisahu Raia wanaamua kujichukulia sheria mkononi
 
Mkuu wapi walokole wametajwa kwamba wameua? mwizi alikutwa akijaribu kuiba kanisani wananchi wenye hasira kali bila kujali dini zao wakawashambulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…