Mwizi auawa akijaribu kuiba Kanisani Mbezi Malamba mawili

Amekutwa kwenye kitendo
 
Hawa wezi wavaa suti,wezi wa kalamu na wao walitakiwa kupelekewa moto kama huu

Ova
Labda Hawa matapeli njaa nilio nao hapa posta.
Wezi wavaa suti wateuliwa hawahusiki na kupelekewa Moto. Hata waibe daraja au barabara, Sana Sana watateuliwa upya.
 
Amekutwa kwenye kitendo
Yes mkuu ILA ni only court of law yenye uwezo wa kisheria wa kuhukumu, tunaishi kisheria ,kinyume cha hapo itakuwa vurugu tupu, SA waliachia hizi kangaroo courts na matokeo yake wengi walikufa na tairi za moto shingoni, sasa ile nchi almost kila mtu ana bunduki na haoni shida kuitumia kuua, na sisi tunaelekea huko huko, ukimwona mtoto sura ngeni mtaani kwako hutujali, zamani ulikua unamwita na kumuuliza labda amepotea, tunaanza kuishi kinyama, yes amekutwa in the act, ita police, hii ndio ilikua njia sahihi sio kujichukulia sheria mkononi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…