Mwizi kachomwa moto muda huu Kariakoo

Hii style ya wizi iliwahi nikuta kamanga feri, kizee kilinikanyaga then wakati nakiomba msamaha nikiinue chini ndipo nliposhangaa Kila mfuko wa nguo yangu ulika covered na mikono ya wezi walionizingira ghafla, mwingine akitaka kunivua kibegi..

Nlishtuka kwa haraka mnoo kujitoa kwenye mtego Ule na kelele nyingi, Hawa watu walipotea Bila kujua walipotelea wapi.

Uzur hawakuambuia kitu kabsaa. Laiti kama wangebeba Lile begi nliakua nmeisha.
 
nitumie iyo video pm mkuu
 
Duuh aisee
 
Baba, hiyo suratul Altawrat Iko juzuu ya ngapi na ina Aya ngapi mkuu mbona wengine hatujawahi iona.??!! Ni kweli adhabu za wezi, majambazi na magaidi zimefafanuliwa katika sura kadhaa katika Quran ila hiyo surat al tawrat unatupiga na kitu kizito mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…