Mwizi maarufu wa Kawe/Mbezi Beach 'Minyembe' auawa na Wananchi

Exactly maza alikuwa kifua sn kwa toto lake lile tundu
Mkuu mama amechangia sana MSIBA wa mwanae ALIKUWA akipiga anaweka SAWA kwanza kwa maza BILA kujua katoaa wapi
Imagine anauliwa ana SIMU touch mbili aisee Rip Dk
 
Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu

Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema

Kama wasemavyo siku ya kifo n kifo tu Minyembe alikuwa na wenzie wawili. Ghafla walipokimbia yule binti akapiga kelele wananchi wakamfwata aliekimbilia mtoni Kawe

Alipoanza kukimbizwa kwenye maji akaomba asamehewe arudii tena ana mtoto, wakamshauri apande juu. Hapo ndipo wakamfunga kamba pembeni ya nyumba ya mjumbe. Wakanzaa mdundika mawe yasio na idadi kichwani

Kijana Minyembe ambae Kawe polisi pamekuwa kama shule yake akiingia na kutoka hivi sasa hatuko nae tena. Polisi wa Kawe mtusaidie kutoa hii maiti yake ulizeni kwa mjumbe

Nendeni bar ya Soweto mtaelekezwa alipo.

RIP Minyembe umewahi kunisachi kama mwanamke mara nne tena saa tano tu nashukuru hukuwahi kunidhuru ingawa nilijitahdi kukupa ushirikiano kila nikuonapo

Ulinifanya nikirudi saa sita niweke simu na pochi kwenye soksi huku nikikuwekea 2000-3000 kwa ajili ya kuweka amani nifike salama nyumbani

RIP
Dk Minyembe
Poleni na hongereni kwa utulivu na amani mliyokuwa mmeikosa kwa uwepo wa minyembe,lakini hiyo Dk no cheo chake pia? jr anastahili kuombewa pumziko la amani?. Ahsante
 
Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu

Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema

Kama wasemavyo siku ya kifo n kifo tu Minyembe alikuwa na wenzie wawili. Ghafla walipokimbia yule binti akapiga kelele wananchi wakamfwata aliekimbilia mtoni Kawe

Alipoanza kukimbizwa kwenye maji akaomba asamehewe arudii tena ana mtoto, wakamshauri apande juu. Hapo ndipo wakamfunga kamba pembeni ya nyumba ya mjumbe. Wakanzaa mdundika mawe yasio na idadi kichwani

Kijana Minyembe ambae Kawe polisi pamekuwa kama shule yake akiingia na kutoka hivi sasa hatuko nae tena. Polisi wa Kawe mtusaidie kutoa hii maiti yake ulizeni kwa mjumbe

Nendeni bar ya Soweto mtaelekezwa alipo.

RIP Minyembe umewahi kunisachi kama mwanamke mara nne tena saa tano tu nashukuru hukuwahi kunidhuru ingawa nilijitahdi kukupa ushirikiano kila nikuonapo

Ulinifanya nikirudi saa sita niweke simu na pochi kwenye soksi huku nikikuwekea 2000-3000 kwa ajili ya kuweka amani nifike salama nyumbani

RIP
Dk Minyembe
Mkuu kwani umeshahama kimara bonyokwa?
 
Exactly maza alikuwa kifua sn kwa toto lake lile tundu
Mzazii anaendazika mwanae sura asioijua kama n Mwanaetena
Wazazi tuwaombee watotowakiwa wadogoo wakue KTK kumpendeza Mungu na wanadamuuu
 
KIUFUPI TU
samahani kwa wafiwa kama amkujua HILI..MTOTO WENU wiki iliopita AMEPIGA MWANAMKE bisibisi na KUCHUKUA SIMU

alipokuwa akikimbilia huko kwenu walimwona wakakutana upande wote wa JUU na chini huyu sie BINADAMU tena

Kwa BAHATI mbaya akusoma nyakati alichokifanya yule binti YUKO Hosp mpaka sasa ANAPAMBANA na Uhai wa mwanae

Alipojaa majuzii watu wala awakuwa na shidaa na mwenzie walipomwona n yeyetenaa wakammkimbizia mtoni upande wa PILI washatonywaaa

dogoo kafanikiwa kuingia mtoni apandishe JUU akakutana na VIJANA wanamapanga kama 10+

Akageuka aelekee kwa MBELE akakutana na jeshi LA hatareee AKAONA ajisalimishe alipotokaaaa

Amesahauu MWANAMKE aliemlaza hospt na MIMBA yake amekulia huku KWETU

mume wa mdadaaaa n KIJANA wa kawee kabisa na ndioo maana tuimetanguliza kuomba POLISI nao wahusike maana VIJANA waliojipanga sioo tu m.mapya pamoja na wakawe JUU wamejipangaa wahuni wakionekana leoo KAWE waagize tu maturubaii MENGINE kwa AjiI ya mwendelezo wa kuzikaa ujinga awataki tenaaaaa

wezi na wachawi si wakuacha waishi kabisaa
 
Safi sana,
Huo ndio uanaume na sio kulialia
 
Vijana wa MBEZI beach
mlisikia Yule mwizi aliezikwaa luventry MAJUZI tena Kwaoo matajirii SANA uweziaminitu na wanamabasi KIJANA Roho ikamwangia wazazi wakagoma kuendelea kumtoa NDAN

akaaka sana tu alipotoka NJE akajaa kwa wanaume zamani alizoea kupokelewa na Ngumi NK akitokea MTU wanamjua kapona

wanaume wakampa motoo kifuani amedondoka wakahisi ajafaaa wakampa mwingine

Akfankiwa kupataa alichokipataaaaaa

wakati maziko wamemaliza kuzikaaa HAKUNA alieachwa NJIAN salama walipoanza kufika maeneo ya madukani ndioo wakakutana na dola

lakini walishaporwa wengi tu

kwa leoo tunaawaanza Waoo NAJUA NDUGU ZAOO wamooo HUMU

UKISOMA MAANDIKOO YESU ALISEMA NAWAACHIENI AMANI
Hakuna SEHEMU tumeachiwaaa HELA wala ..............

tutailinda kwa gharama amani Yetu naamini tutakuwa pamoja na NDUGU zetu wa KAWE ingawa wakigusaaa kidogooo watuachieee Tuna JAMBO LETU
 
This is so sad really. Why did they have to kill him instead of apprehnding him to the police to face the full force of law?

That thief has the right to live and enjoy the fruits of John's fifth term.

Just imagine if it was you or it was your brother or father. Why do people in this nation never value life? Whyyyy?

Those people who killed that dude their hands are full of blood. And the guilty conscious will haunt them forever.

Imagine his family maybe wife and children are waiting where is daddy?

Every single life is precious and must be valued at all cost.

'If you never sin pick the stone'.

Am so saddened and heart broken by this loss.

Hata hivyo Alipangiwa atakufa hivyo pindi tu alipozaliwa.
Ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga tu. Hio ni kanuni halisi ya maisha.😝
 
Dogo alikuwa ninja htr, kaacha mke mwenye ujauzito leo pale kwao masela kibao yaan dah wanapiga nyimbo ya daz nundaz kalale pema peponi kamanda, walikuwa na Kundi lao wanajiita Israel dah sio poa dogo rama, niliwahi mkuta asubh na simu kali sn mitaa ya Africana akauza elfu 30, dogo mama yake alikuwa anamkingia kifua sn.

Safi sana, huyo mama aendelee kumkingia kifua hata huko aliko huyo mwanaye. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
 
Shemeji boraa unapigaa m nikisikia mwiziii nasubiria wamemkamataa wameshamaliza kuangalia NAWEZA ilà hata kupigaaa inanishindaa

NDIO maanaa SUNGUSUNGU UBUNGO. NILIWAPA MBINU.MOJA.MPAKA.LEOO AWATOI DAMU.MTU....
WAKIKAMATA.MWIZI.WANACHUKUA.CEMENT WANACHANGANYA NA MAFUTA YA TAA NA KAMCHANGA WANAMNYOSHA KIKOMBE KIMOJA TU WANAMWACHIA AKIMBIE ....AKIFIFKA OFISI ZA KF NAJITOA HAPA

ELSE KAMA.KUNA WENYE MOYO HII WANAFANYA MBEZI MAJI YA.MAVI MACHAFU WANAKOROGA WANAMNYWESHA KIKOMBE AKIMALIZA .MKIMBIZEN AKIMBIE MWACHENI MTAITIWA MAITI ASBH

YATATU HII INAHITAJI WENYE NGUVU

WALA.AMUMPI KITU SHIKA KICHWA CHIKA.MIGUU.MTIKISENI MBELE NYUMA.KUSHOTO KULIA BADILISHENI TUMBO LIWE LINANGALIA ARDHI.MZUNGUSHENI KAMA.DK 15-20 YAANI MNAMCHEZESHA KWELI KWELI

MWACHENI HAPO ..WAPENI SUNGU.SINGU HELA WAMLINDE AKIAMKA.NAIRUDISHA HIOO HELAAA..HIZI N NJIA BORA MAANA DAMU INAWEZA.KUWA NA MADHARA.HATA UPANDE WA.MNAOPIGA.....
Hii ya TATU inaitwa Kumchekecha mtu. Hii ni kwa kijana wanaemfahamu sana unakuta anazimishwa kistaarabu bila kumwagwa damu. Akichekechwa bandamaz, maini, mapafu yakakorogeka na utumbo ndani humo hatusui😂😂😂!!!

Atapiga hatua kadhaa tu lazma aende deki! Inatumika sana maeneo ya keko
 
Kijana aliekuwa maarufu kupiga watu visu na mapanga na kuleta wezi wa Manzese na Magomeni kuwatesa wananchi wa Kawe na Mbezi ameuwawa usiku huu

Kijana Minyembe kijana mwembamba na mwemye mbio kuliko mwanariadha Bolt ameuawa usiku huu baada ya kumuibia dada mmoja njia ya mchangani chadema

Kama wasemavyo siku ya kifo n kifo tu Minyembe alikuwa na wenzie wawili. Ghafla walipokimbia yule binti akapiga kelele wananchi wakamfwata aliekimbilia mtoni Kawe

Alipoanza kukimbizwa kwenye maji akaomba asamehewe arudii tena ana mtoto, wakamshauri apande juu. Hapo ndipo wakamfunga kamba pembeni ya nyumba ya mjumbe. Wakanzaa mdundika mawe yasio na idadi kichwani

Kijana Minyembe ambae Kawe polisi pamekuwa kama shule yake akiingia na kutoka hivi sasa hatuko nae tena. Polisi wa Kawe mtusaidie kutoa hii maiti yake ulizeni kwa mjumbe

Nendeni bar ya Soweto mtaelekezwa alipo.

RIP Minyembe umewahi kunisachi kama mwanamke mara nne tena saa tano tu nashukuru hukuwahi kunidhuru ingawa nilijitahdi kukupa ushirikiano kila nikuonapo

Ulinifanya nikirudi saa sita niweke simu na pochi kwenye soksi huku nikikuwekea 2000-3000 kwa ajili ya kuweka amani nifike salama nyumbani

RIP
Dk Minyembe
Bosss katiba ubora wako
 
Back
Top Bottom