Mwizi maarufu wa Kawe/Mbezi Beach 'Minyembe' auawa na Wananchi

Exactly maza alikuwa kifua sn kwa toto lake lile tundu
Mkuu mama amechangia sana MSIBA wa mwanae ALIKUWA akipiga anaweka SAWA kwanza kwa maza BILA kujua katoaa wapi
Imagine anauliwa ana SIMU touch mbili aisee Rip Dk
 
Poleni na hongereni kwa utulivu na amani mliyokuwa mmeikosa kwa uwepo wa minyembe,lakini hiyo Dk no cheo chake pia? jr anastahili kuombewa pumziko la amani?. Ahsante
 
Mkuu kwani umeshahama kimara bonyokwa?
 
Exactly maza alikuwa kifua sn kwa toto lake lile tundu
Mzazii anaendazika mwanae sura asioijua kama n Mwanaetena
Wazazi tuwaombee watotowakiwa wadogoo wakue KTK kumpendeza Mungu na wanadamuuu
 
KIUFUPI TU
samahani kwa wafiwa kama amkujua HILI..MTOTO WENU wiki iliopita AMEPIGA MWANAMKE bisibisi na KUCHUKUA SIMU

alipokuwa akikimbilia huko kwenu walimwona wakakutana upande wote wa JUU na chini huyu sie BINADAMU tena

Kwa BAHATI mbaya akusoma nyakati alichokifanya yule binti YUKO Hosp mpaka sasa ANAPAMBANA na Uhai wa mwanae

Alipojaa majuzii watu wala awakuwa na shidaa na mwenzie walipomwona n yeyetenaa wakammkimbizia mtoni upande wa PILI washatonywaaa

dogoo kafanikiwa kuingia mtoni apandishe JUU akakutana na VIJANA wanamapanga kama 10+

Akageuka aelekee kwa MBELE akakutana na jeshi LA hatareee AKAONA ajisalimishe alipotokaaaa


Amesahauu MWANAMKE aliemlaza hospt na MIMBA yake amekulia huku KWETU

mume wa mdadaaaa n KIJANA wa kawee kabisa na ndioo maana tuimetanguliza kuomba POLISI nao wahusike maana VIJANA waliojipanga sioo tu m.mapya pamoja na wakawe JUU wamejipangaa wahuni wakionekana leoo KAWE waagize tu maturubaii MENGINE kwa AjiI ya mwendelezo wa kuzikaa ujinga awataki tenaaaaa

wezi na wachawi si wakuacha waishi kabisaa
 
Safi sana,
Huo ndio uanaume na sio kulialia
 
Vijana wa MBEZI beach
mlisikia Yule mwizi aliezikwaa luventry MAJUZI tena Kwaoo matajirii SANA uweziaminitu na wanamabasi KIJANA Roho ikamwangia wazazi wakagoma kuendelea kumtoa NDAN

akaaka sana tu alipotoka NJE akajaa kwa wanaume zamani alizoea kupokelewa na Ngumi NK akitokea MTU wanamjua kapona

wanaume wakampa motoo kifuani amedondoka wakahisi ajafaaa wakampa mwingine

Akfankiwa kupataa alichokipataaaaaa

wakati maziko wamemaliza kuzikaaa HAKUNA alieachwa NJIAN salama walipoanza kufika maeneo ya madukani ndioo wakakutana na dola

lakini walishaporwa wengi tu

kwa leoo tunaawaanza Waoo NAJUA NDUGU ZAOO wamooo HUMU

UKISOMA MAANDIKOO YESU ALISEMA NAWAACHIENI AMANI
Hakuna SEHEMU tumeachiwaaa HELA wala ..............

tutailinda kwa gharama amani Yetu naamini tutakuwa pamoja na NDUGU zetu wa KAWE ingawa wakigusaaa kidogooo watuachieee Tuna JAMBO LETU
 
Ukiishi kwa upanga, utakufa kwa upanga tu. Hio ni kanuni halisi ya maisha.😝
 

Safi sana, huyo mama aendelee kumkingia kifua hata huko aliko huyo mwanaye. Asiyefunzwa na mamaye hufunzwa na ulimwengu.
 
Hii ya TATU inaitwa Kumchekecha mtu. Hii ni kwa kijana wanaemfahamu sana unakuta anazimishwa kistaarabu bila kumwagwa damu. Akichekechwa bandamaz, maini, mapafu yakakorogeka na utumbo ndani humo hatusui😂😂😂!!!

Atapiga hatua kadhaa tu lazma aende deki! Inatumika sana maeneo ya keko
 
Bosss katiba ubora wako
 
Wananchi wangeuwa na hiyo maiti pia[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…